Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kama tunavyojua maji ni bidhaa adimu na ni pesa. Katika karne hii maji sasa hivi yanauzwa kwenye chupa, maji yanauzwa kwa wateja iwe Mijini au Vijijini hivyo maji yana thamani na ni pesa. Maji...
1 Reactions
7 Replies
964 Views
Ni zaidi ya siku tatu toka tujulishwe kuwa ofisi za Sahara Media (wamiliki wa Star Tv, Radio Free Africa, Kiss Fm) zimefungwa na mamlaka ya ukusanyaji kodi (TRA) kwa kushindwa kulipa kodi kwa muda...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Walichotaka watakipata, serikali itoe basi tamko, yani watu wanavyolalamika hivi kwenye vyombo vya habari wao kiimya
6 Reactions
79 Replies
11K Views
Nawakilisha mada fupi ili muumize vichwa kuchangia... Swali..Je kwa uchumi tulionao watanzania tunahitaji taarifa za udaku na umbea? Mkokotoo wa swali..hivi ukiujulisha umbea/udaku juu ya maisha...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Recently there has been a lot of talk about Allah being a muslim God to the extend that some members going below the belt [insultive]. My firm belief is that JF offers us with opportunity to...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
OCCID Makambako maarufu kama Yesaya Sudi, amekuwa bingwa sana wa kuchomekea watu makosa kwa kutafuta rushwa kinguvu,jambo hili lisipoangaliwa kwa umakini litaleta vurugu kati ya wananchi na...
6 Reactions
75 Replies
12K Views
Habari wadau! Kuna ndugu yangu amepata division three ya 14 combination ya CBG. Matokeo Yake ni kama ifuatavyo. GEOGRAPHY-D CHEMISTRY- E .BIOLOGY- E. GS- S. Naomba tumsaidie kumshauri asomee...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Ni mchanganyiko wa sukari na gesi za mlipuko. Nimeitaimu hiyo chupa ilikuwa kwenye freezer Halafu ukitaka kuona Iraq iangushe hiyo chupa kwa nguvu ipasuke.
2 Reactions
65 Replies
9K Views
Nilikuwa mdogo sana lakini naikumbuka kama jana! Viwanda vya nguo kochokocho Mwatex, Urafiki, nk. Bora, chuma, mbolea, SIDO nk. Shule ilikuwa na maana. Ukipasi la saba wewe umetimia hakuna...
12 Reactions
116 Replies
15K Views
Za asubuhi wakuu naomba nisaidiwe namba ya mkuu wa mkoa wa Mbeya . Natanguliza shukrani zangu Sent from my SM-G355H using JamiiForums mobile app
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wataalamu wa maji na miamba karibuni katika mjadala. Swali, maji ya mto yanatoka wapi? Maji yanatoka kwenye chemichemi ndani ya ardhi. Je, kulima juu tu kunaharibuje chemichemi hiyo! Maji...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari Kwa mfano ukapata nafasi ya kuanzisha na kumiliki mtandao wa simu wenye wateja wengi na mafanikio kuliko kampuni nyingine. Mimi Kama Bosi ningetumia Sana internet kwa siku ningeshusha Gbs...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kipindi cha mwaka 2005 hadi 2015 ( awamu ya Nne ) nilikuwa nafurahi na nafarijika mno kila mara iwe nikisikiliza Radio au nikitizama Luninga halafu nikawaona hawa ' Utatu Mtakatifu ' akina...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Muda huu kituo cha kimara ,Abiria wa kiume akiwa na mwanae aliamua kumpiga picha binti yake akiwa ameketi kwenye Yale mabenchi ya kusubiria Gari, Ghafla akatokea mgambo wanaolinda na kumwambia...
2 Reactions
52 Replies
8K Views
Kuku wameruhusiwa hafu time wanaenda nje kucheza.
1 Reactions
1 Replies
4K Views
DEREVA wa basi la abiria la AM Coach, Andrea Jafari (42) amefi kishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Mlele mkoani Katavi kwa kosa la kuumua twiga anayekadiriwa kuwa na thamani ya zaidi ya Sh milioni...
1 Reactions
37 Replies
8K Views
Naombeni ushauri wadau, Dogo kapata III ya 14 combination ya PCB kidato cha 6. GS - F Physics - D Chemistry - E Biology - E BAM - D Ataweza kutapata MEDICAL college MD ? Tunaomaba ushauri...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Mlima Kilimanjaro uligunduliwa na mzungu fulani, mti mrefu kuliko yote Africa pia umegunduliwa juzi tu chini ya mlima huo na mzungu, na wiki iliyopita mzungu amegundua simba jike akimnyonyesha...
0 Reactions
2 Replies
775 Views
Habari ndugu JF, Kichwa cha habari kinajieleza vizuri. Naomba kufahamu nini cha kufanya ili kuanzisha na kumiliki kituo hicho ?
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Jamani karibuni sana mshiriki Tamasha Jinsia mwaka huu 2017 linalotarajiwa kufanyika.katika viwanja vya TGNP.Mabibo kuanzia tar 5 hadi 9 Septemba. Unaweza kushiriki kwa kufanya maonesho au kutoa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…