ikawaje sasa, toa maelezo ya kina wewe marketing manager wa pepsi
Ni mchanganyiko wa sukari na gesi za mlipuko. Nimeitaimu hiyo chupa ilikuwa kwenye freezer
Halafu ukitaka kuona Iraq iangushe hiyo chupa kwa nguvu ipasuke.
Hapa ndipo pagumu, mtoa mada ulipaswa ulete ulichoona hakifai kwenye cocacola!! Sasa unapotuambia tuangushe chupa tuone Iraq sikuelewi unajua!!
Wewe tueleze, umechukua chupa ya coke, ukaifanyia nini? matokeo yakawa nini?? Nadhani utakuwa umetusaidia zaidi kuliko ulivyoandika kifupi sana
Onyesha movie yakeNilifungua mlango wa gari kubwa size ya Landrover nikiwa nimeshika hiyo chupa ikaniponyoka na kudondoka chini. Halafu ilikuwa imeshachemka kwa mtingishiko. Ilipofika chini mpasuko wake ulinipofua kama dakika.moja sioni kitu. Gari lote halitamaniki kwa matone ya soda.