Je ni taratibu zipi hufuatwa ili kuanzisha kituo cha kulea watoto yatima au waishio mazingira duni ?

THEGENTLEMAN1996

JF-Expert Member
May 13, 2017
518
590
Habari ndugu JF,

Kichwa cha habari kinajieleza vizuri.

Naomba kufahamu nini cha kufanya ili kuanzisha na kumiliki kituo hicho ?
 
Back
Top Bottom