kifanya njombe
Member
- Jun 10, 2017
- 10
- 9
OCCID Makambako maarufu kama Yesaya Sudi, amekuwa bingwa sana wa kuchomekea watu makosa kwa kutafuta rushwa kinguvu,jambo hili lisipoangaliwa kwa umakini litaleta vurugu kati ya wananchi na polisi, yeye ni kama mungu mtu pale, sijui ni kwann Mahakama inaweza ikatoa tamko kuwa mtu hana hatia lakini yeye akamtia tena nguvuni na kumuundia tatizo jingine.
Hakuna anaemuhitaji si polisi wenzie mpaka sisi wananchi, kiukweli tumechoshwa na tabia zake yeye kikubwa kwake ni kutafuna wanawake wa wenzie na ukionekana karibu na wanawake hao jua unakutana na majanga,asipichukuliwa hatua za mapema atasababisha vurugu..
Ni heri wangetuachia OCCID alokuwepo mwanzoni Teddy alikuwa mtenda haki sio huyu.