Ungekuwa Mmiliki Wa Mtandao Wa Simu

Ungekuwa Mmiliki Wa Mtandao Wa Simu

DUMEGUY

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2014
Posts
499
Reaction score
206
Habari Kwa mfano ukapata nafasi ya kuanzisha na kumiliki mtandao wa simu wenye wateja wengi na mafanikio kuliko kampuni nyingine.
Mimi Kama Bosi ningetumia Sana internet kwa siku ningeshusha Gbs of mavitus... Wewe ungefanya nini na uwezo ulio nao?
 
Ningefanya mengi tu kuhakikisha kampuni yangu inafanya vyema katika soko la ushindani
 
Ningeweka kila weekend au mwisho wa mwezi kupiga simu iwe free
 
Ndoto za mchana huwa zinadanganya, endelea kuota kuwa unamiliki mtandao!.
 
Instagram
Whatsapp
Sms
Vyote bureee
 
Watakaleta vita mbili should vya ajira na kuwa tayari kwa malipo ya ankara nibgewapa mkopo wa air time
 
Back
Top Bottom