Wanawake wengi ndani ya Facebook ni 'soo easy,soo cheap, soo simple, very active but poor minded'

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Watanzania asilimia kubwa hawafaidiki na mtandao wa Facebook kimaisha,bali umekuwa mtandao kama kichaka cha watu (wanawake) kujitangaza, kujiuza na kufanya mapenzi sana na wanaume ambao wanajuana hewani hewani ndani ya muda mfupi.Imefahamika.

Unamkuta mke wa mtu kila siku yupo busy na fb anapost mapicha picha yasiyokuwa na staha na mume wake yupo tu (hata kama hayupo).

Mtu akituma picha, ukamfwata inbox...anajaa haraka sana!Yaan hata kama hamjawahi kuonana uso kwa uso, ukimfwata inbox ukamsifia (ukinga) ,anavimba kichwa.Mnafahamiana muda huo huo na kufanya appointment ya kuonana.

Fb wanawake warahisi sana,kama wana pepo.

Kwann wanawake wameanza kujiuza fb bila haya, bila aibu, bila woga, harakaharaka, kwa kujiamini?

Mtandao was Facebook n kichaka cha watu kutafutana na kutafunana.

Very shame.
 
Binafsi sijawahi kuwaona wadada wanaojiuza lakini kutwa utasikia Fulani au eneo Fulani kuna Madada poa!huwa najiulizaga umejuaje kuna Madada poa kama wewe sio kaka poa au dada poa....
 
Nawewe unafanya nn facebook?

Mbona mnawaandama sana wanawake

Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
 
Wanawake wa fb ndo wa wapi? kwani wameshushwa kutoka jupiter? si ndo hao hao mko nao mitaani..! cha ajabu nini kama anagawa! si maisha yako..ebu pambana na hali yako jombaaa..vipi ule mshahara wako wa laki nne umeanza kukutosha au ndo unakula na wa fb??hahahah
 
Watanzania asilimia kubwa hawafaidiki na mtandao wa Facebook kimaisha,bali umekuwa mtandao kama kichaka cha watu (wanawake) kujitangaza, kujiuza na kufanya mapenzi sana na wanaume ambao wanajuana hewani hewani ndani ya muda mfupi.Imefahamika.

Unamkuta mke wa mtu kila siku yupo busy na fb anapost mapicha picha yasiyokuwa na staha na mume wake yupo tu (hata kama hayupo).

Mtu akituma picha, ukamfwata inbox...anajaa haraka sana!Yaan hata kama hamjawahi kuonana uso kwa uso, ukimfwata inbox ukamsifia (ukinga) ,anavimba kichwa.Mnafahamiana muda huo huo na kufanya appointment ya kuonana.

Fb wanawake warahisi sana,kama wana pepo.

Kwann wanawake wameanza kujiuza fb bila haya, bila aibu, bila woga, harakaharaka, kwa kujiamini?

Mtandao was Facebook n kichaka cha watu kutafutana na kutafunana.

Very shame.
Hili ni katika mitandao yote ya kijamii asilimia kubwa wanawake ni mala.ya
 
Inaonesha mpaka umeyajua hayo yote, inatupa picha kuwa hayo ndio matumizi yako huko Facebook.

Mbona wengine hayo hatuyaoni?
 
Mitandao ina kila kitu. Kila aina ya watu, ukitaka malaya wapo..ukitaka wachumba, mke au mume utapata. Ukitaka elimu ya chochote kile hutakosa. Ukitaka kuingiza pesa kibiashara ni wewe. Kila mtu ana interest zake. Na wewe umeonyesha wazi interest zako za kimalaya malaya. Hicho ndio upendacho ndugu yangu na utakipata unachotafuta.
 
Asante kwa taarifa mkuu.... Ngoja niingie fb fasta nitafute demu wa kumla Leo ijumaa nianze nae weekend

Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
 
Wanawake wa fb ndo wa wapi? kwani wameshushwa kutoka jupiter? si ndo hao hao mko nao mitaani..! cha ajabu nini kama anagawa! si maisha yako..ebu pambana na hali yako jombaaa..vipi ule mshahara wako wa laki nne umeanza kukutosha au ndo unakula na wa fb??hahahah
hahahah hivi kumbe ndo huyu alikuww anlalamika mshahara hautoshi kumbeee nyingine anahonga i guess
 
Back
Top Bottom