Swali kuhusu upanda cheo na ajira

Swali kuhusu upanda cheo na ajira

Mukose

Member
Joined
May 19, 2012
Posts
95
Reaction score
29
Mfano upo kazini, na labda muda mfupi uliopita ulikuwa shule unasoma kozi fulani. Uliokuwa unasoma nao ambao hawatokei kazini ukamaliza nao kozi hiyo na ajira zikatoka kwa wale wanaotokea shuleni hali wewe uliyeko kazini unasubiri kupanda cheo je, unaweza kupanda cheo ama ajira ya wale kwa ngazi ya cheo abacho unakisubiri na wamepata wewe unakuwa na ulazima upande ama mazoezi haya hayaingiliani?
 
Hueleweki Mkuu, Hebu Kaa Chini Weka Maelezo Vizuri Tukusaidie

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Acha haraka ndugu,nyoosha maelezo.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mfano upo kazini, na labda muda mfupi uliopita ulikuwa shule unasoma kozi fulani. Uliokuwa unasoma nao ambao hawatokei kazini ukamaliza nao kozi hiyo na ajira zikatoka kwa wale wanaotokea shuleni hali wewe uliyeko kazini unasubiri kupanda cheo je, unaweza kupanda cheo ama ajira ya wale kwa ngazi ya cheo abacho unakisubiri na wamepata wewe unakuwa na ulazima upande ama mazoezi haya hayaingiliani?
Wewe upo kazini na unasoma.utapanda cheo kama taratibu za utumishi zilivyo kwa mtumishi.

Na hao watakapo ajiriwa watapanda vyeo kama taratibu za ajira zilivyo kwa waajiriwa wapya.

Shida yako iko wapi?!?

Kuna short course na Kuna long course.Mara nyingi short course hazimpandishi utumishi cheo.

Long course zinampandisha mtumishi cheo mfano ulikuwa na Diploma Sasa una Degree automatically utapanda cheo.

Swali lako haliko clear sana
 
Poa kwa wewe nimekuelewa sana asante
 
Shule unasomea nini na nani akupandishe cheo kwa mwandiko huo
 
Ukipanda cheo kwa kusoma ongezeko la mshahara ni sh 20k kwa mwezi

Pumbafu kabisa
 
Back
Top Bottom