Unaufahama Msitu wa Ajabu Wa Mtemi Chenge?

Yohana Kilimba

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
8,105
5,629
Msitu Huu Uko Wilayani Itilima Karibu na Mto Simiyu Ambao Ndio Mpaka Kati ya Wilaya za Itilima na Meatu.
Msitu Huu Unasifa Zifuatazo:
a)Unamilikiwa na Andrew Chenge Nyoka wa Makengeza
b)Msitu Huu Haukatwi Kuni na Mtu Yeyote Isipokuwa Chifu Chenge
c)Iwapo Mtu Baki Ataenda Kukata Kuni Ndani Basi Aidha Upatwa na Kichaa au Hufa Kwa Magonjwa ya Ajabu
d)Ni Msitu Pekee Tanzania Yote Ambao Ukubwa Wake Hauzidi Eneo la Mramba Kiwanja cha Mpira Chenye Wanyama Wakali
e)Wanyama Hao Wakali ni Kama Chui,Fisi na Mbwa Mwitu
f)Ni Msitu Unaogopwa na Wanazengo wa Itilima na Meatu kwa Kuhofia Nguvu za Ajabu Za Kishirikina Zinazo Patikana Katika Msitu Huo
Anayetumia Whatsapp Aandike Namba Yake Ili Nimtumie Picha za Msitu na Mto Simiyu
 
Yaani hata watalii wa nje wakitembelea atadai kodi,mapato,na kuwaChaji visiting fees...Duuh
hapo nchi haitopata kitu!!!
ahahaha,sidhani!yuko bize na kiwanda chake cha mikate pale bariadi mjini
anaetumia whatsapp jamani atupie namba hapa basi ili uzi uwe na uzito wake
 
Huyu Baba si niliambiwa kaokoka? Uchawi wake hajaacha tuu? Huyu na mwenzie Philip Marmo ndo walitumainiwa ktk nguvu hizo!! Marmo nae nasikia kamrudia mola wake.
 
Back
Top Bottom