Iruru
JF-Expert Member
- Jan 27, 2014
- 1,468
- 2,903
Nmeshtuka kukuta 89.3 frequency ya rfa dsm hawapo wao bali wanapatikana BBC English kwa sasa! Sasa najiuliza, haya ni matokeo ya promo waliompa bashite wakapandishwa viwango au ile promo ilikuwa na lengo la kuuficha huu uofu wa kuuza frequency zao bila kulipa kodi tra?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app