Kutana na mzee mwenye watoto 100 na wake 12, na ana mpango wa kuongeza!

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
Koffi Asilenu , raia wa Ghana ni baba wa watoto 100 na wake 12 na anafikiria kuongeza wengine
Ana miaka 80 na kazi yake ni mkulima watoto wake wana umri kuanzia miaka 50 hadi miaka 11
Anasema hana kaka wala wajomba hivyo ameamua kuwa na watoto wengi ili wampe mazishi ya kufana
Ameweza kuilea familia yake kwa kuwa alikuwa tajiri zamani, ila kwa sasa watoto wake humsaidia.
Mke wa kwanza wa mzee huyo anasema wake wenza wote wamekubali utaratibu uliopo, mmoja wa watoto wake ambaye ni polisi amesema licha ya kuwa mmoja ya watoto wengi ila hakukosa elimu rasmi na sasa anawasaidia watoto wake

Sasa bongo mmoja tu kila siku ugonmvi chips mayai na ma broiler msuli utoke wake labda wasaidizi wawepo

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Koffi Asilenu , raia wa Ghana ni baba wa watoto 100 na wake 12 na anafikiria kuongeza wengine
Ana miaka 80 na kazi yake ni mkulima watoto wake wana umri kuanzia miaka 50 hadi miaka 11
Anasema hana kaka wala wajomba hivyo ameamua kuwa na watoto wengi ili wampe mazishi ya kufana
Ameweza kuilea familia yake kwa kuwa alikuwa tajiri zamani, ila kwa sasa watoto wake humsaidia.
Mke wa kwanza wa mzee huyo anasema wake wenza wote wamekubali utaratibu uliopo, mmoja wa watoto wake ambaye ni polisi amesema licha ya kuwa mmoja ya watoto wengi ila hakukosa elimu rasmi na sasa anawasaidia watoto wake

Nyama ya konokono inalipa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani nimeolewa halafu gegendo nalipata kwa zamu tena miezi 2 maana kila mtu akiwa na zamu ya week ni balaa heri nibaki single
 
Back
Top Bottom