Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Walimu hao kutoka kata za Temeke na Twangoma, wametoa maelezo hayo leo Julai 19 katika ofisi za manispaa wakati wakisubiri kupewa huduma hiyo.
"Sisi tuko hapa tangu juzi na hatujui zoezi hili litakamilika au la kwa sababu ni usumbufu na tunapoteza nauli na muda wetu,” amesema mwalimu mmoja ambaye hata hivyo alikataa jina lake kutajwa.
Amesema uongozi hautoi majibu ya uhakika kwani mpaka sasa wamejiandikisha majina na kufika 200 huku wengine wakiwa katika usimamizi wa mitihani.
Chanzo: Mwananchi