Miss Tourism Tanzania Organisation ,Waandaaji wa mashondano ya Mias Utalii Tanzania,wanakamilisha taratibu za kimkakati ,Mfumo na za kiserikali,ili kuanzisha tens mashindano hayo,yenyemafanikio makubwa nchini na nje ya nchi.
Akithibitisha habari hizo,mmoja wa viongozi wa taasisi hiyo,am aye hakutaka kutajwa jobs lake, alisema bases ya kimya cha takribani miaka 3, mashindano hayo yatarudi katika sits na mfumo wa kimataufa Saudi,ili kuja kuikomboa Sanaa ya urembo nchini, ambayo ilikuwa juu baada ya kuanzishwa na kuwepo kwa Miss Utalii miaka ya 2005 - 2013, na Sanaa hiyo kuporomoka kabisa baada ya bodi ya mashindano kuyasitisha kutokana na hujuma,na badae pia BASATA kuyasitisha kwa shalti na waandaaji kujipanga upya kimfumo wa uendeshaji na utawala.
Matakwa ambayo waandaaji wameyatekeleza na sasa wanakamilisha taratibu,kabla ya kuanza kwa kishindo kipya hivi karibuni