Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wanaJF, Jeshi la Polisi leo limethibitisha kuuawa kwa Mtu mmoja anayedaiwa kuwa Jambazi na kukamata bastola na vitu vinavyodaiwa kutumika katika uhalifu. Taarifa zaidi kukujia........
3 Reactions
34 Replies
4K Views
Mbona matangazo yenu ya moja kwa moja ni mabovu sana, Picha mbovu ziko dull, sauti pia mbovu, sasa ni kwanini? MBONA mnalo gari la kisasa sana la matangazo ya Nje, lile tuliliona na inasemekana ni...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Haiwezekani katika Vituo vyote vya mabasi ( Daladala ) gharama ya huduma ya Choo ni kati ya Tsh 200/ hadi Tsh 300/ tu lakini katika Kituo cha basi cha Mbezi mwisho iwe unaenda Kukojoa au Kukimbika...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
zaman airtel walikuwa wana speed nzuri sana kwenye internet. Kwa sasa AIRTEL UMEKUWA MTANDAO WA HOVYO WENYE SPEED YA KONOKONO KWENYE INTERNET UKINUNUA KIFURUSHI CHAO UJUE MUDA WAKE UTAISHA UKIWA...
3 Reactions
44 Replies
5K Views
Nasikitika kuonaw kinachoendelea bank kubwa kama Etc inayothaminika na wananchi Kunaa dadayetu mmoja ana mkopo tokanjun mwaka Jana na anaendelea kulipa sasa kichekesho majuzi amekwenda kijana...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Ni jambo la kusikitisha sana baadhi ya sheli ndani ya wilaya ya hanang wanauza mafuta ya petroli tofauti na bei elekezi ya EWURA. Bei elekezi ya EWURA ina sema mafuta ya petroli ni shs 2147 sasa...
0 Reactions
4 Replies
770 Views
Mtumishi wa Serikali wa Idara ya Afya katika Halmashauri ya Arusha anayefanyakazi Zahanati ya Mateves amekamatwa na Jeshi la Polisi kwa kitendo cha kuanzisha Huduma za maabara ndani ya majengo ya...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari zenu waungwana, Tarehe 8/7/2017 katika ofisi ninayo fanyia kazi, kulitokea wizi (sikupigwa mimi) ilitokea hivi: Kuna jamaa alikuja kutoa pesa katika mtandao wa voda kiasi cha 270000 baada...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Hebu fikiria unampeleka mama mjamzito hospitali usiku wa saa nane halafu unaambiwa ununue gloves 5 kila moja sh. 2000 na bomba za sindano 3 kila moja sh. 200. Sasa utaratibu huu ndo unaotumika...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Inaandikwa na MUDA WA UKOMBOZI Kuna mambo ambayo ni kweli yanatia sana uchungu, hasa nikikumbuka ule ugomvi wa kitoto ambao wakati wa ugomvi, ndondi zimekolea na wakati mwingine unaelekea...
0 Reactions
2 Replies
880 Views
Kumekuwa na tabia ya gari hususani zile za mizigo pindi zinapoharibika kuegeshwa ndani ya barabara au pembezoni mwa barabara. Gari hizi zimekuwa zikikaa bararani kwa masaa mengi hadi wiki kadhaa...
0 Reactions
5 Replies
956 Views
1. February 2005- miss Utalii Tanzania 2005,waweka historia ya kuwa rebo wa kwanza kabla na baada ya uhuru kutwaa taji la dunia (Witness manwingi ) 2. October 2005 - miss utalii Tanzania waweka...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Amani kwenu, Kama kichwa cha habari kinavyosomeka,nimeona niwakumbushe wanajamvi hili kwamba umakini katika kila jambo ndiyo nguzo ya mafanikio. Ukiwa kazini,kwenye biashara, mchezo hasa ile ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jana kulikuepo na mazishi ya mama Lina Mwakyembe kule Mbeya.Kilichpjitokeza ni siasa zaidi kiliko maombolezo Kiongozi aliyeongoza shughuli za mazishi akaamua kuonesha ukada wake kwa kauli zake...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Naomba kueleweshwa kwann hiki chama kikuu cha upinzani nchini tz kimeonekana kushinda zaidi katika majimbo na majiji makubwa kama dar , arusha , Kilimanjaro, mbeya mjini , mwanza , bunda , tarime...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Kichwa cha habari kinahusika. Ndugu yangu anahitaji hayo mafuta. Yeyote anayefahamu wapi yanapatikana naomba anifahamishe. Natanguliza shukrani
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Mazungumzo ya ACACIA na serikali yanaanza lini njaa inatuua tunasubiri hela. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nimeshtushwa na kushangazwa na tangazo la Mihan gas linalohimiza akina mama kutunza afya, kuokoa mazingira na kuepuka usumbufu kwa kutumia gesi ya Mihan badala ya mkaa, je, inamaana bado kuna watu...
3 Reactions
151 Replies
41K Views
habar ya pasaka wandtgu! hivi jaman ni haki kwel kw watumishi kukatwa kiasi cha kodi kikubwa hivyo hasa kw walimu wenye vijimshara vidogo? wanakata karibu asilimia 10 ya mshara, lakini bado ild...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Huko Indonesia, jamaa alinaswa pembeni ya mto akiogelea na mamba huyo naakapotea nae,ndugu wamemtafuta wakaamua kumuita mganga. ambae alifanya vitu vyake na baadae watu wakashuhudia mamba...
2 Reactions
32 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…