Habari ya jumapili wadau,
Naomba kujuzwa wanapochinja/uza nyama ya nguruwe/kitimoto Hapa Dar es salaam hasa wilaya ya Kinondoni.
Najua supermarket zinapatikana Ila bei zao ziko juu Na inakua...
Mpaka muda huu kuna threads zaidi ya kumi zilizoanzishwa leo na wafanyakazi wa serikali,wanalalamika sana,inasemekana mambo yao ya mishahara haiko sawa,mana waliahidiwa kuongezewa mapema mwezi huu...
Baada ya Shirikisho la soka barani Africa (CAF) kuifutia Zanzibar uwakilishi na uanachama wa soka Africa, ni wazi TFF inahatarisha muungano wa Tanzania
Tanganyika na Zanzibar ni nchi moja, ni...
Ni mda sasa toka uhamisho kusitishwa, watumishi idara mbalimbali wamekuwa wakiomba kuhama hususani kwenda kwa wapendwa wao ( wake/waume) lakini wamezuiliwa kwa hoja ya uhakiki, ebu kuweni...
Binadamu mtu wa ajabu sana,akifanya mazabe jamii ikiyafahamu anakuwa mbogo c mwingine Daktari wa makanisa Lwakatare kisa kaanikwa anakwenda kulalamika bungeni akisaidiwa na cjui ni swahiba Mh...
Serikali imekifunga kiwanda cha ngozi cha Mwanza Tanneries kilichopo wilaya ya Ilemela kwa kushindwa kuendelezwa kwa zaidi ya miaka mitano sasa.
Kiwanda hicho, kinachodaiwa kumilikiwa na...
Ivi nini maana ya kuwa na chama kisichoangalia madhumun ya kuanzishwa kwake na kazi zake ukweli CWT kuanzia mwez ujao hachen kukata ela yetu maana kazi mnayoifanya in tofauti na tuliyowatuma...
Naomba niulize kama wapo wenye Cervical cancer, prostate na throat cancer waandike sms au wapige 0766112752 wakiwa wanajua level yake ili tuone jinsi gani tunaweza kuwasaidia.
Sent using Jamii...
Dar es Salaam. Chama cha Wapangaji Tanzania (TTA) kimeiomba Serikali kuweka chombo maalumu kitakacho wadhibiti madalali wa nyumba ili kuondokana na migogoro inayotokea kati ya mpangaji na...
Kuna shairi limeandikwa na Mwanajeshi mmoja nchini Nigeria limenivutia sana. Nimelitafsiri kwa Kiswahili na ninali-dedicate kwa Jeshi letu la Wananchi wa Tanzania
_____________________________...
Ni vyema kujifunza kwa watu wenye mafanikio miongoni mwa tabia zao ambazo kwa namna moja au nyingine ndio zimechangia wao kuwa na hayo mafanikio.
1. Wana nidhamu
2. Wachapa kazi
3. Wanapenda...
Nawapa pole Sana walimu kwa Kazi kubwa mnayo fanya na kwa kuperekeshwa kila kukicha pasipo faida.
Nyie ndio watumishi wazarendo wa nch yetu yenye kila utajiri, walimu wenzangu tangu niache hi...
Nimeona mahali member mwenzetu, Mudawote akishauri watu waliopungukiwa akili wakatwe vichwa. Mimi nikaona tuanze na hawa waliokopa fedha alafu wakaenda kununulia magari ili waoneshe ufahari hasa...
Jeshi la polisi mkoa wa Dodoma limeendelea na msako maalum ya tokomoza uhalifu na kufanikiwa kukamata Bunduki tatu aina ya Gobore na risasi 54 misokoto 2601 ya Bangi, pikipiki tatu na samani za...
Hakuna jambo lolote lililo jema ambalo utaweza kulipata au kulifanikisha bila ya kuwepo na upinzani,
kila njia ya mafanikio uiendeayo huwa haikosi upinzani wa kuzuia mafanikio hayo,
Kumbuka...
Ni kuhusu pesa ya ESCROW iliyorejeshwa na mmoja wa wanufaika ndugu William Ngeleja.
Kwa utashi wake mwenyewe ama kwa kuombwa au kushurutishwa kufanya hivyo na pengine pia kuhukumiwa na nafsi...
Chama cha Kutetea Abiria Tanzania (Chakua), kimeiomba Serikali kuwapa maelekezo wamiliki wa mabasi ya abiria kote nchini kuingia katika mfumo wa kielektroniki katika ukataji wa tiketi.
Mwenyekiti...
Ndugu mtanzania mwenzangu,
Wakati Fulani nilifikia ukataa wakusema hakuna utumwa mbaya kama utumwa wa fikra , mfano: "watanzania Bwana ni taifa la ajabu" nilijiuliza kwa nini watu husema hayo...
Siku za nyuma ilikuwa kila ukipita vituo vya polisi lazima ukutane na gari zilipopata ajali hasa hasa nyakati za usiku, siku za weekend.
Ila tangu pesa ya kunywa pombe iadimike, ajali za sasa...