Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mkuu Wa Wilaya ya Iringa akitoka kwenye kusikiliza mgogoro wa wakulima na wafugaji Idodi, alikuta ajali ndio imetokea ikabidi asimame na kuanza kuokoa majeruhi ambapo dereva alikimbizwa hospital...
4 Reactions
56 Replies
9K Views
Nimeona wakiweka hii Global kubwa kabisa pale mjini. Imechorwa mabara yote na nchi zikiwa zimeandikwa. Nadhani kwa Tanzania hii italiwa ya kwanza mjini. Ni kiashiria kizuri cha usomi.
5 Reactions
46 Replies
7K Views
Gazeti la kikristo leo MSEMA KWELI jumapili limeandika kutakuwa na mkutano mkubwa wa maombezi ya taifa la Israel. Kwa Mujibu wa gazeti hilo wakristo wote watahusika akiwemo na mtumishi mmoja...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Malinzi hakujua kuitambua na kuipa support Zanzibar katika CAF ni msimamo unaopingana na sera ya Serikali. Kosa hili limeponza kaka yake aliyekuwa anasimamia sera. Ndiyo shida kuchamba kwingi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habarini za asubuhi Leo nimetoka zangu nyumbani niende K/koo....kufika k/koo nikakuta Maduka hayajafunguliwa nikaambiwa ni usafi kufungua hadi sa 4 asubuhi ndipo nikaamua kwenda kunywa supu...
5 Reactions
28 Replies
3K Views
Speed limits and speed cameras are based on colonial limits of 50 Miles per hour and 80 Miles per Hour. It seems the law makers were too lazy to convert these figures into the metric systems...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Ndio wamemaliza kutoa...naenda ATM kila baada ya muda empty ufafanuzi please
0 Reactions
36 Replies
4K Views
HABARI ZENU HUMU NDANI Leo nimeamua kupitipitia instagram page ya RC wa Dsm.post yake ya mwisho ni video fupi ikimwonyesha dogo anataka kumtupa paka kwa bwawa la kuogelea lkn paka anachoropoka na...
4 Reactions
70 Replies
8K Views
Wengi wakimuona nyoka wanaanza kukimbia ,kupiga makelele.Nani kakuambia kuna nyoka ambaye akimuona mtu anaanza kumkimbiza. Nyoka sio simba au chui ambao tabia zao wakimuona mtu ambaye ni kitoweo...
39 Reactions
209 Replies
47K Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na ambayo haijapata kutokea katika Historia ya nchini Uganda tokea ijipatie Uhuru wake leo Waziri ' matata ' na ' mkorofi ' sana wa Sheria na Katiba nchini Uganda...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa Kilimanjaro, imemhukumu vifungo vya maisha jela, mfanyabiashara mashuhuri wa madini wa Mererani, Benedict Kimario (43), kwa makosa mawili ya ubakaji na ulawiti...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Ajali mbaya imetokea leo hii majira ya saa tatu na nusu iliyohusisha daladala Coster na Treni maeneo ya Tandika relini. Hakuna aliyepoteza maisha lakini abira walio wengi wapo mahututi. Chanzo...
4 Reactions
71 Replies
13K Views
nahitaji nipate visa kutoka katika hiyo bank sasa mimi nipo mkoani kuna mambo nahitaji nifahamishwe naweza nikaweka pesa kwa mpesa? card nitaipata baada ya siku ngapi? kupata Huduma ya online...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
naomba nifahamu haya kwa wanaotumia bank hiyo mimi nipo mkoani nahitaji nipate card sasa sina uwakika kama hiyo Huduma wanaitoa? je card naweza nikaipata baada ya siku ngapi? pia kufanya online...
0 Reactions
3 Replies
822 Views
.
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Asalamu alaykum mdau,mshairi na mpenzi wa mashairi Tanzania. Ni matumaini yangu kuwa sote tu wazima wa afya na mungu mwenyezi katujaalia tena kukutana kwa mara nyingine tena tukiwa na afya na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Continental imerudi hewani kwa sasa channels za continental zimerudi hewani unaweza kuzipata kupitia satellite ya ABS-3 iliyopo degree 3 west kwa frq11150v45000 kwa wale mafundi pale uelekeo wa...
0 Reactions
60 Replies
10K Views
Jamani mimi ni mteja wa Continental decoder,jamani hawa jamaa hv kweli wako siriasi na wanachokifanya. 1. Page yao Facebook wameitelekez wanaingia pale kurekebisha bei ya decoder kisha...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…