Makonda ana maana ipi katika hii clip?

mike2k

JF-Expert Member
May 12, 2016
1,529
3,309
HABARI ZENU HUMU NDANI
Leo nimeamua kupitipitia instagram page ya RC wa Dsm.post yake ya mwisho ni video fupi ikimwonyesha dogo anataka kumtupa paka kwa bwawa la kuogelea lkn paka anachoropoka na dogo ndo anadumbukia....kwa wataalam wa kwenda beyond the reality nna uhakika kuna ujumbe anatufikishia sisi wakazi na watanzania kuhusu suala lake nyeti.
Hebu nnasidien na nyinyi mnaelewa vipi hapo
 
Amemaminisha unachokifanya kinakuja na results ya Virse-versa,Mtoto alitaka kumtupa paka kwenye maji kaingia yeye,na yeye alitaka kuwatoa watu Dar mayb atatoka yeye ni mawazo na mtazamo wangu wa clips
 
Hebu cheki zaidi labda katupia cheti huko
Akili yake ndogo sana pamoja na kukimbia nchi watu hata hajajua wanataka nini alilia kanisani watu wakamwambia akimaliza kulia aweke vyeti akaamua kusepa
 
Back
Top Bottom