Moshi-Kilimanjaro kuwa Mji wa Kisomi zaidi

Tembosa

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,412
3,807
Nimeona wakiweka hii Global kubwa kabisa pale mjini.
Imechorwa mabara yote na nchi zikiwa zimeandikwa.
Nadhani kwa Tanzania hii italiwa ya kwanza mjini.
4961493666f3fb55fbcbc5ef9c8a283b.jpg


Ni kiashiria kizuri cha usomi.
 
Mbona ni ya mduara. Wakati dunia ni oval.
Hivi oval kwa kiswahili ni nini mazee.
 
Back
Top Bottom