ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,685
Habarini za asubuhi
Leo nimetoka zangu nyumbani niende K/koo....kufika k/koo nikakuta Maduka hayajafunguliwa nikaambiwa ni usafi kufungua hadi sa 4 asubuhi ndipo nikaamua kwenda kunywa supu sehemu! Nikaenda kwenye Ka Restaurant fulani ni kadogo tuu sio kubwa kivile au special sana hamna nikaagiza Supu ya Ng'ombe sh 2000 na chapati za 1500 jumla 3500
Naanza kunywa nikakuta muhudumu ananiletea RISITI yangu ikionesha gharama ya 3500 imekatwa kutoka kwenye mashine sijui ndio za EFD! Before sijawahi pewa risiti hapaa
Pia kuna siku nilinunua shati ya elfu 15 k/koo muuzaji akawa ananilazimisha nichukue risiti
Ama kweli mambo yamebadirika
Shikamoo Magufuli
Sent using Jamii Forums mobile app