Usiogope kuanza au kugundua

Usiogope kuanza au kugundua

Yah vya kugundua bado viko vingi tu, nashangaa watu wamekata tamaa na masuala ya ugunduzi. Kuna mtu hapa kwetu mda si mrefu anaenda kuithibitishia dunia kwamba ndani ya mkojo kuna vimelea vinavyosababisha uchochezi. Kwa Tz ugunduzi ni rahisi sana!!
 
Back
Top Bottom