mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,161
- 802
Ndio wamemaliza kutoa...naenda ATM kila baada ya muda empty
ufafanuzi please
ufafanuzi please
bank kuu mkuufafanua tena mkuu wakina nani wamemaliza kutoa
Jiunge na NMB Mobile mkuu, soli za viatu zitaisha,na zaidi sana unapoteza muda na nauli!Ndio wamemaliza kutoa...naenda ATM kila baada ya muda empty
ufafanuzi please
nauli piaJiunge na NMB Mobile mkuu, soli za viatu zitaisha,na zaidi sana unapoteza muda!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu.nauli pia