Vivid Reality
Member
- Jul 21, 2017
- 19
- 9
.
Miss youu
Interesting [emoji15][emoji15][emoji15]Hua nakutafakari na ninakosa jibu kuhusu wewe
ahahaha.... mkuu hilo suala la utataEti superstar wa JF we unaona ni sawa kugawagawa mikoa ilikujenga nyumba kwenye mashamba
Aisee ulipotelea wap baba vivi au ulikua kifungoni?
[emoji15] [emoji3] [emoji3]Aisee ulipotelea wap baba vivi au ulikua kifungoni?
Kifungo (ban)....aisee karibu tena jamvini[emoji15] [emoji3] [emoji3]
Kifungo gani tena?
Ni maisha tu mtu wangu,nilikua sehemu ambayo net mpk juu ya mti,huko liwale lindi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo yaani kama upande wa afya wilaya inakosa mpaka ex-ray wakiagiza ikiletwa mkoani waamueTatizo wakuu wa mikoa wamepewa majukumu mengi ambayo ilifaa wapewe wakuu wa wilaya maana wakuu wa wilaya wenyewe ndio wako karibu na wananchi
Kwahiyo tuwe tunaanzisha mikoa mipya ili ziwepo hospitali zenye x ray? Hujui kama nimakosa makubwa sana hospitali ya wilaya kutokuwa na x ray?Ndiyo yaani kama upande wa afya wilaya inakosa mpaka ex-ray wakiagiza ikiletwa mkoani waamue
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo wakuu wa mikoa wamepewa majukumu mengi ambayo ilifaa wapewe wakuu wa wilaya maana wakuu wa wilaya wenyewe ndio wako karibu na wananchi
Nawewe naye unataka niolozeshe yote hapa hivi wewe unajua km240 halafu hakuna lami halafi wilaya hiyobni kubwa kushida huko kuliko baki koteKwahiyo tuwe tunaanzisha mikoa mipya ili ziwepo hospitali zenye x ray? Hujui kama nimakosa makubwa sana hospitali ya wilaya kutokuwa na x ray?
Sent using Jamii Forums mobile app