Good news: Channel za continental zimerudi hewani

dkashombo2013

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2013
Posts
538
Reaction score
119
Continental imerudi hewani kwa sasa channels za continental zimerudi hewani unaweza kuzipata kupitia satellite ya ABS-3 iliyopo degree 3 west kwa frq11150v45000 kwa wale mafundi pale uelekeo wa canal yaani 22?w unapanda kidogo
 
Good news
 
Kuna tvs channel gani zingine zinazopatikana kwenye satellite hiyo?
 
ngoja nichakachue zuku tena nirudi kwenye free chanel zangu za cotinental..hakuna kulipia kitu kwa mwez hapa.
 
Haiwezi pita mwezi bila kusikia continental decoder channel zimepotea au kukatikatika,nadhani hamjipanga vzr,mlikurupuka tu.
 
Zitaondoka tena hewani lini? Sijawahi kufikiria kutumia hicho kisambusi hata siku moja. Ubabaishaji mtupu.
 
Continental imerudi hewani kwa sasa channels za continental zimerudi hewani unaweza kuzipata kupitia satellite ya ABS-3 iliyopo degree 3 west kwa frq11150v45000 kwa wale mafundi pale uelekeo wa canal yaani 22?w unapanda kidogo

MSAADA...naomba kujua hizo settings ni kwenye dish, king'amuzi au vyote maana nimeshaingiza kila kitu kwenye settings lakini bado haikamati.

nipeni maufundi hapo wadau.
 
Vyote mkuu unatumia decoda gani kwani
 
Mimi natumia king'amuzi cha Continental, hebu niambie kwa uelekeo ule lilipo kwenye Channel zilizo pote, je ninalipeleka juu au naliinamisha chini ili nipate hizo signal za hiyo satellite?

Elekeza vizuri Mkuu ili tujaribu kufanya kazi hiyo. je na kama una lipandisha au kilishusha ni kwa kiasi gani au kwa nyuzi ngapi?
 
Tayari, kwa watakao penda kujaribu inabidi washushe kidogo kama degree 5 kisha unalizungusha kidogo dish kuelekea kushoto. LNB unaizungusha kwa degree 270 clockwise au 90 anticlockwise. Utaona signal za Strength na Quality zainaingia za kutosha. Kula vitu tena.
 
Nipo Dar na ninatumia iyo continental ila nimeunganisha na Antena ya kawaida tu,nifanyaje ili channel zirudi kama zaman.???
 
Continental imerudi hewani kwa sasa channels za continental zimerudi hewani unaweza kuzipata kupitia satellite ya ABS-3 iliyopo degree 3 west kwa frq11150v45000 kwa wale mafundi pale uelekeo wa canal yaani 22?w unapanda kidogo

Nipo Dar na ninatumia iyo continental ila nimeunganisha na Antena ya kawaida tu,nifanyaje ili channel zirudi kama zaman.???
 
Continental imerudi hewani kwa sasa channels za continental zimerudi hewani unaweza kuzipata kupitia satellite ya ABS-3 iliyopo degree 3 west kwa frq11150v45000 kwa wale mafundi pale uelekeo wa canal yaani 22?w unapanda kidogo

Ndugu mtaalamu!

Ninatumia decoder ya continental ambayo ina kama mwez sasa haioneshi channels. Na ninachokiona kitu kigeni kwenye decoder hii ni kwamba ile taa ya green ambayo huwa inawaka kwenye neno lililoandikwa lock (ambalo lipo jirani na neno power..ambapo taa nyekundu huwaka) siku hizi haiwaki teena badala yake imebaki hiyo taa nyekundu ya power ndo inawaka, na hata nikitaka nitumie remote kuangalia channels kwenye decoder hii hairespond chochote.

Msaada tafadhali.

Thaanks in advance
 
Haiwezi pita mwezi bila kusikia continental decoder channel zimepotea au kukatikatika,nadhani hamjipanga vzr,mlikurupuka tu.

Muheshimiwa satellite Amos 5 ilipote kwa hiyo walihama satellite that was inevitable
 
Last edited:
Back
Top Bottom