mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,161
- 802
[MEDIA=youtube
na wewe mkuu?Ni shida kubwa.Tupo tunahangaika wenyewe wala hakuna anayeumizwa na hili suala.
hawana majibuWengi wameingiziwa jana ndugu,kama bado jitahidi kesho muone afisa utumishi wako atacheck kwenye system. Pole
Sent using Jamii Forums mobile app
zipo sawa mkuuInawezekana taarifa zenu hazijakamilika na kesho ni siku ya kazi jaribuni kufatilia
Basi subiria adi kesho uone if watakuwekeazipo sawa mkuu
hilo neno, eti kuna tatizo howcome?Basi subiria adi kesho uone if watakuwekea
Watumishi wote wa umma mishahara imeingia toka ijumaa Mchana. Kama wewe bado possibly huja hakiki taarifa zako kwa kutumia kitambulisho cha uraia, salary slip pamoja kitambulisho cha kazi au majina yako ya kwenye akaunti yanatofautiana na majina yaliyoko kwenye pay slip! Fuatilia utajua tatizo lipo kwenye haya niliyo ainisha.zipo sawa mkuu
Watumishi wote wa umma mishahara imeingia toka ijumaa Mchana. Kama wewe bado possibly huja hakiki taarifa zako kwa kutumia kitambulisho cha uraia, salary slip pamoja kitambulisho cha kazi au majina yako ya kwenye akaunti yanatofautiana na majina yaliyoko kwenye pay slip! Fuatilia utajua tatizo lipo kwenye haya niliyo ainisha.