Kampuni ya uchimbaji visima

Kampuni ya uchimbaji visima

mkata-mkaa

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2016
Posts
296
Reaction score
181
Wakuu habar zenu..
Naitaji huduma ya kuchimbiwa kisima kirefu cha maji.
Mwenye kujua kampuni zinazotoa huduma hii naomba anijuze tafadhari
Niko dar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom