Ungekua Rais,ni kiongozi gani unge mstaafisha

Kama Ningekua Na Uwezo Wa Kumstaafisha Mtu Bas Hata Uwezo Wa Kumuongeza Mtu Miaka Kazin Ningekua Nao Kutoka Katika Uvungu Wa Moyo Wangu Bila Unafiki Wala Kupepesa Macho Makonda ,mrisho Gambo Na Magu Ningewaongeza Miaka 20 Kila M1 Kira La Heli Hawa Wa Ndugu
 
Mrisho gambo ,,ili jamaa sijui limekula maharagwe ya wapi? Anatafuta kiki tuu kila uchwao ,2; job ngudai 3; Tuli ,,,nkiwa mkavu kabisa bila kupepesa macho
 
Musings was it as fisha Bali ningewafukuza Nazi na utumishi nao in Bashite kwa kuvamia chombo cha habari, Kairuki. kwa kwahadaa watumishi na kuwa na kiburi Tulia na mwenyemachemba
 
Ningewastaafisha Ma Rais wenzangu wote

Rais wa TFF ( tayari yupo ndani)
Rais wa Simba ( tayari yupo ndani)
Rais wa Yanga ( Tayari yupo ndani)
Rais wa TLS. ( Tayari yupo ndani)

Bado Rais wa Wasafi na wa Manzese ningewataftia timing ya kuwapima Mikojo niwatupe ndani!

Ukijiita tu Rais nakutupa ndani na ukitoka nakustaafisha
 
Back
Top Bottom