Acacia: (siku za mwizi arobaini)

bartaizo

JF-Expert Member
Jun 19, 2013
236
86
Wahenga walipata kusema "usilo lijua litakusumbua" Acacia hamkujua kuwa watanzania walipata kuambiwa toka awali kuwa "mkataa kwao ni mtumwa" japo si wote huikataa Tanzania mkajijengea imani kuwa mtatuibia hata mwisho msijue kuwa miongoni mwa mnaoshirikiana nao kutuibia waliwahi kuambia "kila mwambangoma huvutia kwake" magufuli anaishi kile wahenga walisema "asiyewajari wa kwao hana alonalo" kama ACACIA Mngalisoma alama za nyakati mngalikumbuka kuwa "unaweza kuwadanganya wote lakini si kwa wakati wote" mngelijifunza kuishi nasi tulioshi nanyi huku tukilinda maneno ya wahenga watu wanaotambua shubiri ya kutawaliwa!



(Acacia: wananikumbusha simulizi ya sungura "sizitaki mbivu hizi")

2 Timotheo:4.2
lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom