Jeshi la Police mtatangaza Lini nafasi??

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
Msaada mniambie jeshi la police mtatangaza lini nafasi za kujiunga na jeshi hili?
Pia nna ushauri acheni kuchukua vijana fresh from school huku kitaa wamejaa vijana kibao wenye nguvu,akili,maarifa na uzendo na elimu ya kutosha kupambana na wahalifu kama wale wa kibiti
Sasa kuajiri vijana wadogo waliomaliza form 4 au 6 ni kuharibu jeshi ndo mana daily mnalalamikiwa na RAIA utendaji wenu mbovu kutokana na kuajiri watoto na failure wengi.
Tuajirini watu tuliopevuka kiakiri tupige kazi itapendeza mkianza kuajiri wenye degree,pgde na masters achaneni na vitoto vihitimu vya form 4
 
sasa mkuu na masters ama degree yako utakubali kwenda porini kibiti
 
Msaada mniambie jeshi la police mtatangaza lini nafasi za kujiunga na jeshi hili?
Pia nna ushauri acheni kuchukua vijana fresh from school huku kitaa wamejaa vijana kibao wenye nguvu,akili,maarifa na uzendo na elimu ya kutosha kupambana na wahalifu kama wale wa kibiti
Sasa kuajiri vijana wadogo waliomaliza form 4 au 6 ni kuharibu jeshi ndo mana daily mnalalamikiwa na RAIA utendaji wenu mbovu kutokana na kuajiri watoto na failure wengi.
Tuajirini watu tuliopevuka kiakiri tupige kazi itapendeza mkianza kuajiri wenye degree,pgde na masters achaneni na vitoto vihitimu vya form 4
Degree holder au masters au PGDE wakiwa wote jeshini Nani apewe AK47 au SMG akalinde CRDB Nyanza Branch Hapa Mwanza!??

KIMEO CHANGU
 
Polisi ni ulinzi. Hivyo ukikubali lazima ulinde tu
Ulishaona wapi Afisa analinda Mkuu!! Hao Degree,masters NA PGDE Holder wakifika jeshi ni miezi tu wanapata Jiwe begani sasa unafikiri kazi km hizo za ulinzi na Patrol afanye nani km kundi kubwa la askari ni maafisa!??? F4 na F6 ndio Huwa wanachukuliwa wengi sana Maana kazi nyingi ni ulinzi, Patrol na shughuli zingine ambazo maafisa hawafanyi...

KIMEO CHANGU
 
Msaada mniambie jeshi la police mtatangaza lini nafasi za kujiunga na jeshi hili?
Pia nna ushauri acheni kuchukua vijana fresh from school huku kitaa wamejaa vijana kibao wenye nguvu,akili,maarifa na uzendo na elimu ya kutosha kupambana na wahalifu kama wale wa kibiti
Sasa kuajiri vijana wadogo waliomaliza form 4 au 6 ni kuharibu jeshi ndo mana daily mnalalamikiwa na RAIA utendaji wenu mbovu kutokana na kuajiri watoto na failure wengi.
Tuajirini watu tuliopevuka kiakiri tupige kazi itapendeza mkianza kuajiri wenye degree,pgde na masters achaneni na vitoto vihitimu vya form 4
ZIKITOKA KAMBI YA MAZOEZI IMEHAMIA KIBITI MKUU
 
Back
Top Bottom