bartaizo
JF-Expert Member
- Jun 19, 2013
- 236
- 91
Katika maajabu mengi ni watu kutamani kuwa na vile wasivyo navyo siku moja nilitembelea kijiweni, niliwaona wasio onekana wakasema "wajua Tanzania ingalikuwa tajiri kama America"!? Uongozi wetu huu ni usanii mtupu (nilijiuliza hivi marekani iliwagharimu muda gani kufika walipo nikagundua wao wamekuwa huru tangu miaka ya 1700 hivi nikawaza sisi tumepata Uhuru lini?) Nikagundua wale watu nisio waona walikuwa wakitumia madawa ya kurevya akili, ndiyo niliamini hivyo maana wakati Fulani nasikia madawa haya yanawalipua akili zao wengi sikuhizi wanayatumia na huenda ndiyo maana wanashindwa kufikiri wanawaza kulaumu
(Wahenga na hekaya zao)
2 Timotheo:4.2
lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.
(Wahenga na hekaya zao)
2 Timotheo:4.2
lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.