ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,014
Straight to the point
Huko Acacia walipotinga yaani hiyo mahakama ya biashara jijin london kiboko yao ni wale wabunge watatu wazalendo, Goodluck,kibajaji na msukuma.
Kibajaji atachachafya pale mpaka washangae tena kwa kutumia kiswahili na mtafsiri tumpeleke Asumpter mshana,Goodluck atakuwa anawatolea mifano mbalimbali na kuchekesha hapa na pale huku akiwazubaisha wazungu hao ,majizi makubwa yametuibia madini yetu miaka 18 bila hata kusajiliwa,shenzi kabisa
Msukuma yeye sina haja ya kuongea sana,kakulia geita kwenye madini ndiyo maana alimuambia mnyika yeye kazoea kuona matofali siyo dhahabu,huyu sasa tumfanye kiongozi wa team yetu nawahakikishia watanzania wenzangu hiyo trillion 425 itakuja na kuwa na uhakika wa bajeti ua miaka 13