Ufukwe wa bahari kama dampo yaani

qaxemvule

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
230
117
Ufukwe wa bahari kama dampo aibu

IMG_20170725_191349_922.jpg



Sent using Jamii Forums mobile app
 
I si waweke ma bin huko, kama wameshindwa kuweka kila mtaa, then waweke sehemu kama hizo, I think Makonda atalifanyia kazi
 
mkuu una maana uko ulaya sijui ndo mnaita yuesi beibi kukiwana na jambo bovu tukalifanya na sisi inakuwa poa tu!

Mara nyingi takataka kama hisogezwa na maji kutokea eneo jingine hadi kny fukwe...yaweza kuwa chanzo ni mabomba ya maji machafu.
 
Back
Top Bottom