kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 19,493
- 18,387
Mambo ya kibongo ni ya hovyo hovyo sana, huyu jamaa yetu Jamali Malinzi rais wa TFF anafanyiwa zengwe la kutosha...
Mkuu nakujua sana wewe ni member mzuri hapa jukwaani, endapo utapata fursa ya kusoma uzi huu. Fanya hivi...
Waachie MTFF wao hapo!!
Hiyo mambo ikiisha achana na soka la kibongo, ni mbaya sana kuendeshwa kisiasa...
Wabongo na Wanamichezo wengi wametanguliza maslai yao binafsi mbele.
Hili likipita achana na hii mambo na jishughulishe na biashara zako master.
Pokea salamu zangu za dhati kupitia jukwaa hili...nilisikitika sana kukuona comrade ukipanda kwenye ule m'basi mkubwa wa kijani...Ndiyo hivyo pengine kuna wanaodhani huko TFF kuna maslai mapana, ninachoamini hawatakufunga na endapo watakufunga itakuwa ni fitna tu!!
Fitna zinamwisho na ukweli utasimama.
Piga moyo konde Mkuu...
Wasalamu.
CC: Asprin
Kuna haja ya kuanzisha tag humu...[HASHTAG]#leaveMalinzialone[/HASHTAG]...
[HASHTAG]#freeBishanga[/HASHTAG]...