ITV acheni uchoyo

ITV acheni uchoyo

Ahead

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2013
Posts
2,410
Reaction score
2,736
Naangalia documentary ya mashujaa hapa naona mmeziba hiyo video na nembo yenu mpaka haionekani vizuri,na ukizingatia video hii ya zamani picha Zane hazina ubora mbona sio nyinyi wa kwanza kuirusha,vituo vingine vilirusha pasi na kuweka nembo zao!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee mkuu usiwalaumu sana labda ndio utaratibu wao wa kazi
 
Hata mimi nimekereka sana nA hicho kitendo...picha haina ubora na bado wanajaza bonge la nembo juu ya picha kiasi cha kutoonemana vizuri

17 PHD these are results
 
Back
Top Bottom