Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jamani kwa nini kila mtu akikanyaga tu lango la kuingilia Mlimani City anaanza kuongea kiingereza? Utasikia cha kuungaunga mara IS na WAS kibao. Kwani mkiongea Kiswahili chenu mtakuwaje? Acheni...
18 Reactions
273 Replies
34K Views
kuna utafiti umefanywa katika jiji LA DAR ES SALAAM maeneo yanayongoza kwa starehe za USIKU kuanzia JUMATU HADI JUMAPILI kumi yanayoongoza kwa STAREHE NA WATU KUKESHA USIKU...... 1.MASAKI...
1 Reactions
60 Replies
27K Views
Jamani naombeni mamlaka husika hasa Wizara ya Afya ifuatilie na kufanya uchunguzi mkubwa katika kitengo cha oparesheni pale Hospital ya taifa Muhimbili.Kitengo hiki kimegubikwa na rushwa ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Takribani kwa miaka zaidi ya kumi (10), kampuni ya wakenya inayofanya tafiti hapa nchini Tanzania IPSOS-SYNOVATE, imekuwa ikizidi kulalamikiwa kwa report zao za utafiti ambazo hazina ukweli na...
0 Reactions
20 Replies
17K Views
Habari ndugu, Naomba msaada wenu hapa Kuna video hii You Tube nimekutana nayo inamuonesha IGP KAMANDA SIMON SIRO akiwaelezea wananchi wa kagera habari za KIBITI na akiwatahadharisha wao pia...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Salaaaaam bandugu, jamani katika maisha kila mtu anakuwa na mikakati ya kimaisha, katika mikakati yangu mimi nawakwepa marafiki wasiojielewa, unakuta unakaa na lijamaa mahali mnapiga stori mbili...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Mtoto wa miaka 11 (jina tunalo) amekutwa amekufa katika mazingira ya kutatanisha huku kukiwa na madai kwamba alibakwa kisha akanyongwa. Mtoto huyo ni wa pekee kwa wazazi wake na ni mwanafunzi wa...
1 Reactions
93 Replies
22K Views
Huyu kijana alikuwa anaomba barabarani kwenye foleni za magari. Alipolisogelea gari la huyo mama ili kuomba msaada akakuta anayemuomba anamatatizo makubwa kuliko yeye huyo mama anapumulia mashine...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari za jioni wana jamvi ningependa kufahamishwa uhusiano kati ya katibu mkuu wa wizara mfano wizara ya aridhi na katibu tawala mkoa kiutendaji wako je ..
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wilaya ya mbozi ni miongoni mwa wilaya zilizopo mkoa mpya wa songwe uliogawanywa kutoka mbeya.Wilaya hii inakadiliwa kuwa na wakazi wasiopungua laki 6 na asili ya wakazi wa wilaya hii wengi ni...
0 Reactions
10 Replies
9K Views
Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete amekagua shamba lake la mizabibu, lililopo mkoani Dodoma na kusema kuwa mwaka huu mavuno yatakuwa mazuri. "Nikiwa Dodoma nimepata wasaa wa...
13 Reactions
113 Replies
18K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limekamata nyara za serikali ambazo ni ngozi moja ya simba na vipande 15 vya meno ya tembo vilivyokuwa vimebebwa kwenye pikipiki. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
wadau mimi nataka kumhamisha mke wangu from dodoma to shinyanga yuko idara ya afya Tabibu nifuate step gani? naoan sijui nianzie wapi. Naomba msaada wenu wa mawazo
0 Reactions
0 Replies
830 Views
Nimeipata article hii kutoka kwenye mojawapo ya magazeti ya Zimbabwe. Nilivyoitafakari, nikaona kama vile inaingia pia katika mfumo wetu wa utawala ambapo siku hizi wasomi wanaacha kufundisha vyuo...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakuu kwema? Ni hv ilikuwa Jana namutumia mdogo wangu aliyeko shule kiasi cha 200,000 kwa bahati mbaya nilikosea namba na kuituma kwa mtu mwingne kwa bahati mbaya sikungundua mapema kwani ni leo...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Kijana mmoja anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 32 mkazi wa Kibiti ameuawa kwa kuchomwa moto akisadikika ni jambazi ndipo wananchi wenye hasira kali kuchukua sheria mkononi ya kumchoma moto
3 Reactions
88 Replies
11K Views
Habari zenu ndugu zangu natumaini jumapili iko poa. Niende kwenye mada:Nilivyokuwa secondary school kabla ya kuchagua michepuo nilikuwa sipendi kusoma somo la historia because niliona kama...
4 Reactions
169 Replies
20K Views
Wakuu hali gani Kwa muda mrefu nimekua nikiwa za kuna uhusiano gani kuhusu kubanwa haja kubwa pindi mtu awapo na hofu au wasiwasi bila majibu.. Kwa heshima na taadhima naomba mwenye kujua...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Leo nimefika kwenye kituo cha mafuta ili kuweka mafuta kwenye gari langu. Walipomaliza kuweka mafuta wakanipa risiti ya EFD na baadaye kama kawaida yangu nikaipitia ili nisome kilichoandikwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kanisa Katoliki ndilo mfundishaji mkubwa wa Philosophy (falsafa) na wataalamu wakubwa wa Philosophy wapo ndani ya Kanisa. Vyuo kama Jordan University college Morogoro (zamani Salvatorian...
4 Reactions
18 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…