iPhone tips and tricks

iPhone tips and tricks

yang

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
733
Reaction score
813
Wakuu ningependa kujua zaidi juu ya tips and tricks za iPhone ili kuweza kutumia vizuri simu
Mfano. Unaweza kudownload app ya level then ukatumia simu yako Kama pimamaji (spirit level)
Au ukatumia simu kupiga mstari ulionyooka katika karatasi bila kuhitaji ruler
Nasubiri mchango....
 
Ukiacha tips, labda maswali yawekwe pia.
Kwa mfano nawezaje kupata delivery report ya sms?
Nawezaje kuona namba ya simu namba iliyo kwenye phone book wakyo napiga Simu?
 
That's tips n tricks
Hiyo ya delivery report bado
But no ya simu Au kufanya chochote Wakati unapiga simu just weka loudspeaker then bonyeza button then uendelee na chochote
 
Back
Top Bottom