Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 43,317
- 51,767
Ndugu wana JF,
Naomba msaada kwa anayefahamu ni station gani inaunganisha BBC asubuhi na jioni, siku za nyumba nilikuwa naipata kupitia RFA 93.8 lakini yapata kama wiki mbili sasa RFA haipatikani Mji kasoro bahari
Natanguliza shukurani kwa msaada wenu.