Ni wajibu wetu kumtetea mwanaJF mwenzetu Ndg Makonda!

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,063
28,263
Ni members wa hili jamvi wachache sana ambao ni viongozi na walijipambanua wazi wazi kuwa sehemu ya Great thinkers bila kujali jicho hasi la baadhi ya wanasiasa dhidi ya JF.

Kati ya viongozi hao yumo Paul Makonda.

Ni wajibu wetu kumtetea mwanaJF huyu dhidi ya misukosuko isiyo na mashiko aliyokumbana nayo mara tu baada ya kuanzisha vita vya madawa ya kulevya.

Tunatakiwa kumpa courage zaidi ya kufika hapa jamvini kwa ufafanuzi wa mambo mbalimbali yanayohusu JIJI la Dar.

Great thinkers hawaendeshwi na mihemko ya kimaslahi...bali hufikiri,hujadili,huhukumu,husifia na kuchafua kwa haki na kwa ushahidi.
 
Atubu kwanza na kuomba msamaha hana adabu amechafua watu wengi bila sababu kwa mfanohttps://www.jamiiforums.com/threads/ridhiwani-tumeishi-na-rc-makonda-vizuri-ila-kutajwa-kwenye-madawa-kama-familia-tunamwachia-mungu.1221604/
 
Mkuu umeongea kweli tupu, lakini kwakuwa wengi wengi tumejawa husuda, wivu na tunatumika na wauza sembe bila kujijua ndoa maana tumegeuka mbogo. Mhe. RC atasonga tu, wale tunaojitambua tunajua mchezo ulivyo
 
Hivi JamiiForums mmeamua kabisa kwenda kinyume na katazo liliowekwa la kutokuweka habari za Makonda? Mmesahau ni majuzi tu kulikuwa na kampeni ya [HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG] vyovyote itakavyo kuwa mbeleni nitakaa kimya tu sitahangaika kuitetea jf
 
Ni members wa hili jamvi wachache sana ambao ni viongozi na walijipambanua wazi wazi kuwa sehemu ya Great thinkers bila kujali jicho hasi la baadhi ya wanasiasa dhidi ya JF.

Kati ya viongozi hao yumo Paul Makonda.

Ni wajibu wetu kumtetea mwanaJF huyu dhidi ya misukosuko isiyo na mashiko aliyokumbana nayo mara tu baada ya kuanzisha vita vya madawa ya kulevya.

Tunatakiwa kumpa courage zaidi ya kufika hapa jamvini kwa ufafanuzi wa mambo mbalimbali yanayohusu JIJI la Dar.

Great thinkers hawaendeshwi na mihemko ya kimaslahi...bali hufikiri,hujadili,huhukumu,husifia na kuchafua kwa haki na kwa ushahidi.
mkuu tumtetee ana kesi gani? ila mi napenda tu pozi lake lile analokaaga amekunja 4 na akigeuka nyuma. mpelekee salamu zangu
 
Hivi JamiiForums mmeamua kabisa kwenda kinyume na katazo liliowekwa la kutokuweka habari za Makonda? Mmesau ni majuzi tu kulikuwa na kampeni ya [HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG] vyovyote itakavyo kuwa mbeleni nitakaa kimya tu sitahangaika kuitetea jf
Katazo lilikuwa halina mantiki wala ushahidi.

Wahariri wa print media wanahukumu mambo ya utangazaji.

Mtuhumiwa hakuhojiwa eti ikasemekana kaikimbia tume...hivi ukikosekana mahakamani mara moja huwa unashindwa kesi?

Unafungia habari za Makonda kwenye media zako uchwara wakati sasa hivi dunia imeshakua sana kwenye tasnia ya mawasiliano...hiko ni kituko kingine.

By the way hatuwezi kuacha kujadili maendeleo ya DAR kisa visa vya ajabu ajabu.
 
wameshachemsha wanafunguana mashati taratibu
 
Ni members wa hili jamvi wachache sana ambao ni viongozi na walijipambanua wazi wazi kuwa sehemu ya Great thinkers bila kujali jicho hasi la baadhi ya wanasiasa dhidi ya JF.

Kati ya viongozi hao yumo Paul Makonda.

Ni wajibu wetu kumtetea mwanaJF huyu dhidi ya misukosuko isiyo na mashiko aliyokumbana nayo mara tu baada ya kuanzisha vita vya madawa ya kulevya.

Tunatakiwa kumpa courage zaidi ya kufika hapa jamvini kwa ufafanuzi wa mambo mbalimbali yanayohusu JIJI la Dar.

Great thinkers hawaendeshwi na mihemko ya kimaslahi...bali hufikiri,hujadili,huhukumu,husifia na kuchafua kwa haki na kwa ushahidi.
kwani ameshaonyesha vyeti?
 
Back
Top Bottom