Mgodi wa Bulyahulu unachafua hali ya hewa

Mgodi wa Bulyahulu unachafua hali ya hewa

Mzhokomi

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2014
Posts
232
Reaction score
167
Kumekuwa na vumbi ambalo si la kawaida linalo toka ndani ya mgodi wa bulyahulu ambalo linakuwa ni vumbi jeupe ambalo ukivuta hewa yake unahisi pua zinawasha sana.Hali hiii imetokea baada ya makinikia kukatazwa kwenda nje ya nchi,sisi kama wananchi wa kakola tunaumia na hili vumbi.tumepeleka malalamiko haya kwa uongozi wa mgodi lakini majibu tunayo pewa ni kuwa kuna upungufu wa maji ambayo huwa yanatumika kumwagilizia kifusi chenye vumbi ambalo linakuwa na mchanganyiko wa madawa .....Rai yangu TUNAOMBA MH. WAZIRI WA AFYA AJE ATUSAIDIE HILI TATIZO MANA WANANCHI WANAUMIA NA VUMBI HILI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kuuliza:
Vipi hatma ya vipimo walivyofanyiwa wananchi wanaoishi maeneo karibu na mabwawa yale ya kuhifadhia maji yenye sumu ya CYDINE baada ya kulalamika kuwa mabwawa wanayotumia kunyweshea mifugo na kumwagilia bustani yana sumu?
Au tayari vipesa vimewafunga vinywa?
 
Toeni taarifa NEMC na kwa waziri wa mazingira. Ila kwa sasa funikeni poa zenu na midomo kwa leso kama madaktari kwenye chumba cha upasuaji ingawaje sijui kama inaweza kusaidia ila hata kisaikolojia itasaidia kidogo.
 
Back
Top Bottom