slowpancha
Senior Member
- Jul 27, 2014
- 184
- 102
Hawa wasomali mbona mliopewa dhamana mnawaacha wanafanya wanavyotaka ndani ya nchi yetu wenyewe,wamejazana wenyewe kila kitengo na kuchukua fulsa kuwanyanyasa wafanyakazi wao,hv hz nafasi hakuna watanzania waliosomea hz nafasi?hr wao kasomea Wapi?mbona kuna majipu kibao hapo ya kuyatumbua?wahusika hata haya majipu madogo mpk aje ayatumbue mheshimiwa raisi?wizara ya kazi mbona hz kesi mnaletewa na mnakaa kimya?kuna siri gani kati yenu na hawa watu?wanasainisha watu mikataba ya kubumba,hz sheria zipo kwa ajiri yetu waswahili tu?hrf nyie ndugu zetu wenye hz dhamana mnayaona na kukaa kimya?mheshimiwa raisi tutumbulie na hawa watu,tunanyanyaswa kwenye nchi yetu wenyewe na wageni.lkn naamini siku moja haki itapatikana.