Tamasha la ajabu la EL COLACHO

Tamasha la ajabu la EL COLACHO

bilengeh

Senior Member
Joined
Mar 31, 2017
Posts
135
Reaction score
86
f3d2fb4752c58072e418da857ea82215.jpg
95c9280ded3b04b83676e287a0766d3f.jpg
f049833bfa7ae9aa345bdce226e8302e.jpg
d169df68422fce252fdfa615a5f92feb.jpg

0cb2e23b6a34d7b8c84ab0dbf0027d6e.jpg

Mara moja kwa mwaka, katika kijiji cha Hispania cha Castrillo de Murcia, unaweza kukutana na kimbwanga hichi. Watoto wachanga wakiwa wamelezwa chini kwa maelfu mtaani huku wanaume wakiwa wamevaa mavazi ya kishetani wanaruka juu yao. Mara kwa mara.

Tamasha hili maarufu lijulikanalo kama "El Colacho" ni tamasha kubwa la ubatizo
tofauti na ubatizo wa kikristo ambao ni maarufu wa kuwanyunyiza maji utosini katika mji huu namna hii ya kipekee ya ubatizo haukuanza karibuni bali ni tamaduni ya muda mrefu.ukiwa unaakisiwa ni toka karne ya 17

tukio lenyewe huwa hivi

siku sitini baada ya pasaka maelfu ya wakazi wa mji huu huhudhuria tamasha hili na kuwaleta vichanga vyao kwenye eneo husika na kisha kuwalaza kwenye mto na kuwalaza barabarani, wakishafanya hivyo wanarudi pembezoni mwa barabara, baada ya hapo shughuli rasmi inaanza kwa kujitokeza wanaume kadhaa waliovalia nguo za njano na kuzua hali ya taharuki kwa kuwachapa watu hovyo kwa bakora na mijeledi huku wakiwa wanawaruka vichanga hivyo mara kwa mara kwa kupiga ukelele wa kishetani na kuwang'ong'a watoto hawo kwa matusi na kebehi kwa masaa kadhaa kisha mwishoni kuwamwagia maua mbalimbali

Sasa ni kipi kinapelekea wazazi kuwabatiza vichanga hao kwa mtindo huo hatarishi

wenyeji wanasema wanafanya hivi kuwakinga na watoto wao na uchawi na husda kwa watoto
Wao

Tamaduni hii ikiwa inapingwa vikali na kanisa katoliki kwa miaaka kadhaa lakini waumini katika mjii huu hawakubaliani na kanisa katika ubatizo huu kwakusema ni utamaduni waliourithi kwa wazee wao na hawana budi kuuenzi

lkn pamoja na ukosoaji huo tamasha hili kwa muda mrefu limekuwa linafanyika kila mwaka na hakuna kifo wala majeruhi kwa muda wote huo kwa miaka ya karibuni

sasa ndugu zetu wenye kupenda kuigaiga vitu munaonaje tukawa na tamasha hili hapa nchini[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Scary

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Aisee,wale wahenga waliosema tembea uyaone walikuwa sahihi sana [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Hao watu wangejua matambiko yetu wa afrika wangekoma wenyewe sema yetu ni ya siri na yako ndani ya familia au ukoo na yangewekwa hadharani shetani mwenyewe angeogopa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
!
!
Shetani anavaaje kwani? Halafu ukute shetani sio mbaya kama tunavyoaminishwa

Ni kweli maana shetan alikuwa ni miongoni mwa majini hivyo sio rahisi kwamba aliumbwa akiwa na sura au umbile baya, ni dhana tu hiyo ya sisi wavivu wa kufikiri. Mbona sisi binadam tunapotenda vitendo vya kishetani hatubadiliki sura au umbile? Upuuzi tu
 
Hayo maelfu ya watoto wachanga waliolazwa barabarani yako wapi? Hata hivyo ahsante kwa kutujuza.
 
Nimejifunza kitu kimoja tu kuwa shetani huvaa nguo za njano!!!

Hii ina maana hata Yanga na CCM ni mashetani tu. Bora Yanga una hiari ya kutoipenda, ila Kuna hili shetani linavaa nguo za njano na linaturuka kila siku ili tuisome namba

Bahati mbaya kwa Tanzania kanisa Catholic halilikemei shetani hilo bali inalisifu na kuliimbia nyimbo za kusifu na kuabudu

Wengine wanaoabudu hili shetani ni akina Mpendazoe, Mwanakijiji nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom