Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,362
- 38,716
Nawaza kama sheria tumezitunga wenyewe iweje tunashindwa kuzitumia wandani huku tukilalamikia was nje awafwati sheria
Mh Mpinga..
Kunaa jambo la ajabu sana hapa Morogoro kituoni...Wapo askari watatu mmoja amevaa nguo za kijani na nyota kadhaa huyu anaenda kwenye basi akishuka anamwambia mwenye nyeupe andika thelathini.60'000/90000 karibia basis zote zinazopita
Sina shaka kabisa na alichoamua shaka zangu. Pale mabasi yanapodai EFD resit wanangangania kama hutaki tunalaza basis kituoni to a hioo hela..Aipendeziii..Mbayaa kabisaa
Naamini hili landrover wakilisachikuna EFD machine kwanini wanganganie. Mavitabu tena mawili moja anaandika lingine liko pembeni ni kama mazoea
Mh Mpinga hii vita ya efd tuungane na mh raisi pandezotee hasa waa serikalini kutuonyesha mfanoo....Tupambane kuunga mkono mh jpm ktk vita hii ya EFD
Dar naamini askari atakayenilazimisha makaratasi akiingia ndani break ya kwanza central kwako.....Kila mtu anashangaa na wanapolazimisha toa hela na kama kuna kibubu wamekiona kwenye basi kivunjwe...
Tunaamini kabisa kwa dhati uongozi wako uncle uko imara ningeshauri hili zoezi analofanya IGP kila mkoa ungepita na wewe kusaidia kuhamasisha kuwaamsha watu waliolala
Kwa hisani ya hapakazi2