Mwalimu Commercial Bank (MCB) Acheni ubabaishaji

Mwalimu Commercial Bank (MCB) Acheni ubabaishaji

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,730
Reaction score
8,821
Uzi huu uwafikie wakuu wa bank ya mwalimu na wafanyakazi wake hasa wanaohusika na mikopo
Hizo fedha mnazikopesha hamgawi bure sasa iweje MTU afuatilie mkopo zaidi ya miezi 2 na mlijipambambanua mnatoa mkopo within 5 days baada ya mwombaji kukamilisha nyaraka zote!
Haiwezekani mtu asafiri kuwafuata mumpatie mkopo wakati alishauomba muda mrefu na kukamilisha taratibu zote
Nyie mmekalia ubusy na kusahau baadhi ya Wateja wenu
Bank zote zinatoa mkopo ndani ya muda mfupi mno ila nyie mmekua wasanii hadi watu wanaingia gharama kuwafuata
Acheni ubabaishaji kama mmeshindwa kazi fungeni hilo libank lenu kuliko kuwasumbua watu ,hiyo pesa ni ya mkopo na mnachukua riba sasa kwa nini MTU mumsumbue kumpa hela yake
Kwa mtindo huu mtakuja kufail na kufunga hiyo bank yenu uchwara
Mkopo mnauprocess zaidi ya miezi 2 huu ni upuuzi wa hali ya juu badilikeni.
OVA
 
Back
Top Bottom