Hii ya Download Apps yangu/yetu,mnataka utajiri .mbona promo nyingi kunani

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
745
1,000
Aisee hii kitu naona inatrend, kila mtu mastaa , matajiri, watafuta maisha kila nikipita huku na kule wanakushawishi ukadownload application zao.
Sasa mi sielewi mtanzania ana application gani ya kumfanya atusumbue kudownload huku wakijua fika MB ni gharama sana. Na je hizo spplication zao zina value yaani ata ukimuuzia mchina leo au mzungu wa canada itamnufaisha kama sisi tunavonufaika ya apps za nje. Sio unanunua apps mara unakuta ni udaku tu ooh sijui Jokate Afumwa na mbunge wa CCM.

Najua mnataka utajiri, feza basi ongezeni ubunifu
 

silasc

JF-Expert Member
Feb 10, 2013
3,351
2,000
App za bongo naielewa moja tu ambayo ni Jamiiforums tu. Zingine sina hata mpango wa kuziweka kwenye simu yangu.
 

Josze Zefania

JF-Expert Member
Mar 16, 2017
1,372
2,000
Huwa naend kwnye web yao..staki kujaza nafas bure

Sent using Jamii Forums mobile app from my Andoid phone
 

issac77

JF-Expert Member
Apr 26, 2013
2,542
2,000
Ati download app ya "SHILAWADU" wakuu kweli MTU na akili zako unapakua kitu ka hicho
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom