Mwana Ukoo
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 252
- 422
Wakuu Msafara wa Rais (motorcade) ni msafara Makini na Wenye dhamani kubwa Popote upitapo, Traffic sambamba na wana usalama Hukakikisha Msafara huu upitapo Basi Barabara Hufungwa na watumiji wote wa Barabara kuupisha msafara Huu ili Kuondoa msongamano na kumpa uharaka mshesimwa Rais kufika haraka uko aendako ila pia kwa sababu za kiusalama Gari hua kasi sana,
Back to the Topic
Je kitendo cha msheshiwa Rais kusimama Sehemu mbalimbali na kuongea na wananchi imekaaje kiusalama? Nimaeneo machache sana ambapo wana usalama hutangulia kufanya Ukaguzi kama msheshimiwa ata simama au lah, Sehemu nyingi ni Unplanned yani hazikuwa kwenye plan ya mkuu kusimama ila husimama na kuongea na Haraiki, Mkuu husimama kwa kuangalia population au Wananchi huenda mbele zaidi na Kuzuia Huo msafara kwa nia njema ya kupata kumuona Rais wetu, Hii inaweza kuwa poa kwa mkuu ila inatoa loopholes kwa watu wasio na nia njema, Mkuu leo alikuwa na Ziara ya Kuja tanga na Amesimama maeneo mengi sana njiani, Hii imekaaje Wakuu