Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,395
- 13,273
Mimi ni mteja w TTCL nilikiwa na simu tajwa hapo. Simu ghafla wameidisconnect bila taarifa na sababu yoyote huku ikiwa na airtime. Nilipoulizia kwa mmoja wa wafanyakazi aliniambia wameleta aina mpya lakini nilipoiona haina tofauti sana na ya awali isipomuwa rangi tu.
Maswali yangu ni kuwa kwanini sisi ambao tayari tunazo wasitubadilishie na kutupa hizo mpya kwani hizi tulizo nazo siyo mbovu? Number zinatumika kibiashara kwanini wazime bila taarifa na wakati hizo simu na namba tumenunua toka kwao?
Hivi ina maana simu ikija mpya za zamani huwa zinaondolewa katika matumizi? Wahusika naomba ufafanuzi kabla sijadai fidia
Sent using Jamii Forums mobile app