Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wameondoka na sh ngapi kwenye account yako?
3 Reactions
10 Replies
212 Views
kuna watu wanafanya umri wa kuzaliwa kama ni mashindano, na pale wanapogundua wao ni wakubwa wanafarijika na wanajisifia sana vitu vitokanavyo na ukubwa wao watu wa namna hii huwa...
2 Reactions
2 Replies
126 Views
Ni kwa nini katika Uislamu wanawake na wanaume hawachanganyikani katika chumba kimoja msikitini?
5 Reactions
159 Replies
2K Views
Jaji Mkuu wa Tanzania, Jaji George Masaju katika ufunguzi wa wiki ya Usuluhishi Aprili 09, 2026 Wiki ya Usuluhishi, inayofanyika katika Ukumbi wa PSSSF Golden Jubilee Tower jijini Dar es Salaam...
2 Reactions
12 Replies
498 Views
Leo nimepita nimekuta wese linasima 3820, nikashangaa sana nikaamua tu nijaze full tank, kwasababu najua baada ya muda huenda yatafika 5700, kama hali itaendelea kua mbaya baada ya muda...
8 Reactions
19 Replies
422 Views
Nipo kwnye hatua za mwanzo hutengeneza business idea kwa ajili ya biashara maeneo ya migodini Leo nimeamka na hili wazo naomba ushauri. 01.kuuza miwani za KAZI kuzuia vumbi 02.kuuza mining safety...
4 Reactions
3 Replies
165 Views
Anonymous (0743)
Umbali kutoka kyela-mbeya mjini ni km 83 nauli ilikuwa sh.7,000...imepanda Hadi sh.10,000. Pia umbali Toka tukuyu-mbeya mjinj ni km 45 nauli ilikuwa sh.4000 imepanda Hadi 5000. Pia umbali Toka...
1 Reactions
1 Replies
278 Views
Anonymous (2e2b)
Baada ya kero ya muda mrefu ya ubovu wa barabara kutoka kwa Mama Kibonge - Buza kuja Mtaa wa Mashine ya Naji(No.5) takribani km 3 sasa barabara imefungwa tangu mwezi wa kwanza 2026 kupisha...
2 Reactions
2 Replies
121 Views
Anonymous
Habari za muda huu kiongozi wa Jamii Forums, Nikiwa kama Mtalii na mdau wa Utalii wa Nyanda za Juu kusini mwa Tanzania, nipende kuwasilisha kero yangu Kubwa na kwa watalii wengine. - Ikumbukwe...
3 Reactions
6 Replies
211 Views
1. Marekani- Mapipa milioni 22 Kwa zaidi ya miaka saba mfulululizo, Marekani imekuwa ikiongoza katika uzalishaji wa mafuta, na huzalisha zaidi ya mapipa millioni 22 kila siku. Marekani pia ndiyo...
11 Reactions
25 Replies
818 Views
Nilikuwa na jamaa yangu ananipa visa na mikasa mbali mbali ya Jiji la Mbeya miaka ya 1980s mpaka 1990s. Alianza kuniambia jinsi ambavyo miaka hiyo vijana wengi jijini mbeya ilikuwa lazima waende...
40 Reactions
325 Replies
54K Views
Huku duniani tumekuja kuchuma ila matumizi ya kile tulichokichuma tutakuta huko maisha ya peponi. Kila mmoja atapata neema ya pepo kulingana na thawabu alizozichuma huku duniani. Mitume ya...
7 Reactions
198 Replies
2K Views
Anonymous
Kero ya bara bara Kiluvya Madukani kwenda Kiluvya Makurunge ni kubwa sana kwa wakazi na wawekezaji. Eneo hili ni asili ya udongo mfinyanzi, wakati wa mvua ni changamoto kubwa kwa wakazi licha ya...
1 Reactions
2 Replies
217 Views
Kigoma Visa vya Uchawi na Ushirikina. Kigoma ni moja ya Mikoa ambayo inasifika kwa Uchawi nchini Tanzania. Huu mkoa kiasili una watu wachapa kazi sana. Si wazembe ukilinganisha na mikoa mingine...
35 Reactions
324 Replies
47K Views
Beatrice anakiri kuna maroho wachafu walikuwa wanawatawala.Maroho haya yaliwaambia ukristo siyo dini sahihi.Beatrice anakiri sasa ameokoka na kumjua Yesu na anamlilia Dada yake Martha kuwa...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
  • Redirect
Aliyeimba nyimbo vaileti ameshikwa kenya kwa kosa la kunajisi msichana .Angenunua papuchi badala ya kunajisi wauzaji(kahaba) ni wengi na bei ni kati ya 200 to 2000 za kenya.Sasa huenda atafungwa...
2 Reactions
– Replies
– Views
Hii ni sawa na kushiriki na dhambi isiyotuhusu asee. Ni mdada mzuri alipoajiriwa tu mwaka jana basi kuna jemba yenye mke huko mkoa X ikaanza kuishi naye uchumba sio uchumba mke sio mke lakini...
8 Reactions
21 Replies
451 Views
Taasisi ya Tulia Trust chini ya Mkurugenzi wake ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Mbunge wa Jimbo la Uyole Mhe. Dkt. Tulia Ackson imemkabidhi kiti mwendo na mtaji wa...
1 Reactions
3 Replies
133 Views
Abiria wa ndege ya Precision Air kutoka Mwanza kwenda Dar es Salaam safari yetu ilikuwa leo Jumamosi April 11, 2026 saa saba mchana lakini mpaka sasa hatujui safari itakuwa muda gani! Tumefika...
2 Reactions
9 Replies
446 Views
AKILI NYEUSI: SIRI ZA WATU WANAOCHEZA NA MAWAZO NA MALENGO YAKO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Shuleni ulifundishwa Masuala la Chemical reactions, ulifundishwa natural selection...
5 Reactions
9 Replies
548 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…