Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wadau naomba kujulishwa chuo bora zaidi cha kufundisha upishi kwa ngazi ya cheti/diploma, jijini Dar au hata Kibaha. Kiwango changu cha elimu ni shahada.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hivi hawajamaaa hawaruhusiwi kutumia machine ya EFD? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanabodi. Ili kupata PhD (Doctor of Philosophy) lazima huwe na BA (Bachelor of Arts) na MA (Master of Arts). Nimepitia CV ya Katibu Mkuu wa Chadema Wilbroad Slaa, nimeona kapata PhD yake...
2 Reactions
222 Replies
20K Views
Ikiwa leo ndio siku ya mwisho ya maonyesho haya ukifika utapata faida zifuatazo: 1.Kuziona mashine mbalimbali za kilimo 2.Kupata elimu ya kilimo na teknolojia mpya 3.Kuona wanyama mbalimbali wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana JF. Kiongozi yoyote ni kioo cha jamii, hivi kwa nini hawa viongozi wetu wa Chadema hawajafunga ndoa, sio kama tunaingilia mambo binafsi ya mtu hapana lazima mbele ya jamii waonekane watu...
0 Reactions
72 Replies
6K Views
Jana anasema mjenge kwa kufuata taratibu na sheria vinginevyo nyumba zenu zitabomolewa tena bila fidia. kesho mkiona vibali vinachelewa anzeni kujenga {unajengaje kabla ya kibali cha kujenga) si...
9 Reactions
40 Replies
4K Views
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai leo amemtembelea Rais wa Iran Hassan Rouhani Ikulu nchini Iran na kufanya mazungumzo. Rais wa Iran aliapishwa jana ambapo Spika...
2 Reactions
27 Replies
5K Views
Wengi mlijiuliza walionteka ni maaskari? Mkanitafuta vituo vyote central hadi stakishari Wakasema… hawajui nilipo mama alienda hadi mochwari Dah..... Ya Kaisari mwachie Kaisari Machozi yenu...
0 Reactions
3 Replies
674 Views
Uhuru Kenyatta, jana usiku alitangazwa kuwa Rais wa Kenya akimshinda mpinzani wake Raila Odinga katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika Jumanne iliyopita. Mara baada ya kutangazwa kuwa mshindi, Waziri...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Utakuta mtu yuko bize anapiga remote Ni nini huwapata wenye remote? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Gari la mchanga limeigonga coaster kwa nyuma na kupindu hapohapo hilo roll la mchanga Kisa ni fuleni defi sana kutoka mbagara ranging 3 mpaka Kongowe] mzinga Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Je unataka kutuma mzigo toka au kuulizia bei ya vitu mbali mbali kutoka Zanzibar, au unataka kuleta mzigo toka bara uje Zanzibar na hauna mtu mwaminifu wa kukupokelea? Basi kijana wako, ndugu yako...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauli iliyopitishwa na SUMATRA kutoka mbezi Luis hadi mjini ni Tshs 800. Lakini tozo hii ya nauli siyo inayotozwa kwenye mabasi ya mwendokasi kwa wale abiria wasio kuwa na kadi, badala yake...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa kweli voda msipo chukua hatua Kwa voda shop yenu ya Musoma mjini mtakimbiza wateja maana hawana msaada Kwa wateja kuanzia Meneja wa kituo anamajibu mabovu sana na huduma ni mbovu maana hata...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Redio nyingi Tanzania kwa sasa zina vipindi naweza kudiriki kuviita vya hovyo kwa sababu havijengi kizazi hiki,kuanzia asubuhi ni stori zisizo na maana tena za mambo ya chumbani, ukungwi...
0 Reactions
4 Replies
821 Views
Wakuu, Kuna ndugu yangu yupo mkoa, Mara nyingi huwa ananiomba ela na ananililia shida kweli kweli na mimi huwa najitaidi kumtimizia. Cha kushangaza kila nikimtumia pesa kwenye tigopesa huwa...
1 Reactions
75 Replies
6K Views
Ni jambo la kushangaza sana kama Nacte wanaweza kutoa namba zao simu kwaajili ya kuwasaidia wateja lakini hataki kupokea simu. Najiuliza nini tafsiri ya kutoa namba hizo?. Inakulazimu unapopata...
0 Reactions
4 Replies
933 Views
Ni hudhuni, masikitiko na furaha hapa jijini mwanza baada ya mzee maarufu na tajiri hapa mjini mzee Shinyanga kufariki jana usiku katika ajali ya moto akiwa katika makazi yake pale shinyanga guest...
8 Reactions
322 Replies
67K Views
Changamoto hupendeza maisha,na kukabiliana nazo ndio maana halisi ya maisha. Matatizo unayoyapata kila siku na mbinu unazotumia kutafuta suluhuisho ndio maisha yako. Hivi basi inafaa uwe na...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Back
Top Bottom