N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 8,318
- 12,824
Redio nyingi Tanzania kwa sasa zina vipindi naweza kudiriki kuviita vya hovyo kwa sababu havijengi kizazi hiki,kuanzia asubuhi ni stori zisizo na maana tena za mambo ya chumbani, ukungwi humohumo, lugha chafu nk...sasa napendekeza nyie TCRA wekeni utaratibu unaozilazimisha electronic media kuwa na vipindi fulani, ,,,,yaani iwe lazima kama mlivyowalazimisha HABARI na Vipindi vya WATOTO....
Mfano iwe lazima kuwa na programs za
Kilimo
Ujasiriamali na
Familia
Msikae kusubiri ada tu na tozo hebu m regulate kwa kuweka hizo parameters....kizazi kinachojengwa na hizi electronic media ambazo hamzifanyii sensorship ya kutosha ni kibovu sana na mtajibu siku ya kiama kwa kuibomoa Tanzania....
KAENI CHINI MJITATHMINI UPYA...Hatuwezi kuwa na fm radios zaidi ya 150 na zote zinashadidiza mambo ambayo umuhimu wake kwenye maendeleo ya Taifa ni kipaumbele cha tatu au nne huko...sikilizeni Idhaa za nje contents zao mjifunze.
"Message sent and received "_Chacha Wangwe (quoted )
Sent using Jamii Forums mobile app