PhD. ya Katibu Mkuu wa Chadema Wilbroad Slaa, ni sahihi?

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,932
32,341
Wanabodi.

Ili kupata PhD (Doctor of Philosophy) lazima huwe na BA (Bachelor of Arts) na MA (Master of Arts).

Nimepitia CV ya Katibu Mkuu wa Chadema Wilbroad Slaa, nimeona kapata PhD yake mwaka 1977 St. Urban University Rome Italy.

Kwenye CV yake hukuna sehemu yoyote kuwa ana BA ama MA.

Kuna njia nyingine ya kupata PhD bila kuwa na MA na BA?
 
Aaaah sanaaaaaaaaa, tena ni ile ya ukweli darasani kusotea si kama zile za shujaa wako za kupewa kama vitumbua Mwananyama!!!!! Ritz, you can say it again - Dokta wa UKWELI!!!!!!!!
 
ipo njia nyingine kama hii ya kutafuta air time kutumia mtumbwi
406441_344190875602332_100000342668655_1188426_1329537665_n.jpg
 
Wanabodi.

Hili kupata PhD (Doctor of Philosophy) lazima huwe na BA (Bachelor of Arts) na MA (Master of Arts).

Nimepitia CV ya Katibu Mkuu wa Chadema Wilbroad Slaa, nimeona kapata PhD yake mwaka 1977 St. Urban University Rome Italy.

Kwenye CV yake hukuna sehemu yoyote kuwa ana BA hama MA.

Kuna njia nyingine ya kupata PhD bila kuwa na MA na BA?

Kwanza inaonekana wewe siyo GreaThinker
Ridhiwan aka ritz
 
hivi wewe si uwe busy na kusimamia mradi wako wa DAR LIVE kule mbagala unahangaika nini lakini?...We mwenyewe ulifeli UK ...unataka kuanza kusumbua watu hapa...muulize Dingi alipata GPA ngapi pale UDSM?? kama hujui au anakuficha alipata GPA ya 2.3
 
Great Thinkers naombeni jibu la kitaaluma..
 
Wanabodi.

Hili kupata PhD (Doctor of Philosophy) lazima huwe na BA (Bachelor of Arts) na MA (Master of Arts).

....Kuna njia nyingine ya kupata PhD bila kuwa na MA na BA?

Dah...sijui unafanya makusudi au kweli hujui! unatia huruma. Hizo BA na MA unajua ni nini? Vipi kuhusu BSc na MSc? Anyway hii hoja ya PhD ya Slaa ilishajadiliwa sana humu, itafute.
 
Dah...sijui unafanya makusudi au kweli hujui! unatia huruma. Hizo BA na MA unajua ni nini? Vipi kuhusu BSc na MSc? Anyway hii hoja ya PhD ya Slaa ilishajadiliwa sana humu, itafute.
Achana nae huyo........anatafuta airtime kwa lazima, akili yenyewe ya kuunga kwa manati, tabu tupu!!!
 
Rizt maswali kuhusu PHD ya Slaa yamejibiwa kwa kina sana. Ni vema ukaelewa mfumo wa elimu ndani ya kanisa katoliki. Hata hivyo naomba niweke majibu (kwa msaada wa mwanabidii mmoja) yanayoeleza walau kwa kifupi elimu elimu ya Dr Slaa ndani ya mfumo huo wa kanisa katoliki.

PhD ya Slaa siyo ya heshma, ni PHD kwa kupitia research na kama unajua lugha za wenzetu utagundua kuwa alifanya vizuri sana.

Dr Slaa alisoma Kipalapala, hapa mwanafunzi anasoma form 5 & 6 pamoja na masomo ya Theology na baada ya hapo huunganisha na degrii ya theology.

"Kipalapla kama ilivyo Institutions zote za Kanisa Katoliki (kwa level ya Philosophy na Theology) iko affiliated na vyuo vikuu mbalimbali duniani.

Mfano, wanaosoma Zomba Theological College Malawi (Theology) na Kachebere Philosophical College (Philosophy) mpakani mwa Malawi na Zambia wanafuata marking scheme ya Chancellor College - University of Malawi. Kuna chuo kingine kiko Balaka Consorsium Philosophical College nadhani kiko affiliated na St Urban University, Rome.

Missionary Institute London (MIL) iko affiliated kwa Middlesex University (chuo cha serikali cha Uingereza) na Luvein University (Belgium). Wanaofuata mfumo wa Middlesex University kupata BA wanasoma miaka 3 na passmark yao ni 40%. Wanaofuata mfumo wa Luvein University kupata BA wanasoma miaka 4 na passmark yao ni 60%. Muhula unaanza Oktoba na kwisha Juni (miezi 8).

Mfumo wa kutoa final mark ni 1) class presentation na participation 2) essay writing 3) oral examination 4) defence of dissertation mbele ya internal & external examiners. Pia mtu anayepata first class, papers zake lazima ziwe marked na internal na external examiners na ajadiliwe kama anastahili first class degree na siyo tu kupata kwenye karatasi. Pia anayeshindwa, paper zake zinasahishiswa na examiners tofauti ili kuonesha kashindwa kweli au kama amepunjwa marks.

Kwa Tanzania, kwa sasa vyuo vyote kwa level ya Philosophy na Theology viko affiliated na St Urban University, Rome. Zamani, falsafa ilikuwa miaka 2 (sasa ni 3) na teolojia ilikuwa miaka 3 (sasa 4).
Mtu akimaliza (Tanzania) alikuwa anapata certificate siyo kwa sababu masomo yalikuwa level ya chini ila kwa sababu maaskofu walikuwa hawajaridhia wahitimu wao kupata digrii licha ya kuwa walikuwa wanaombwa wanafunzi wapewe magamba kama ilivyokuwa kwenye vyuo vingine. Ilichukua muda kidogo.

Lakini kama mtu aliendelea na masomo ya juu walithamanisha masomo yale kwa chuo ambacho mtu anaenda kusoma maana content ya syllabus ya masomo ya falsafa na teolojia ni (universal) kwa vyuo vyote vya Kanisa Katoliki duniani tofauti ni kwa kila nchi wanaongeza mambo yanayohusu cultural understanding ya nchi husika including its legal system.

Uganda mtu akimaliza Jinja Philosophical College (Philosophy) anapata BA katika Philosophy. Akiendelea na Theology chuo kingine, anapata BA katika Theology na kuna vyuo vingine akimaliza Theology anapata MA. Inategemea chuo kina mfumo gani na kinafundisha nini - maana kuna baadhi ya masomo kama mtu hakuyafanya wakati wa philosophy atayafanya wakati wa theology.

Kwa baadhi ya vyuo, mtu mwenye BA ya Philosphy na BA ya Theology, akiendea na masomo ya juu 'specialisation', anaenda moja kwa moja kusoma PhD kulingana na vigezo walivyoweka (mfano, vyuo ambavyo vinafundisha Philosophy na Theology kwa pamoja).
Kwa baadhi ya vyuo masomo haya yanatenganishwa - yaani, mwanafunzi anaamua ku'specialise' kwenye pure philosophy au pure theology. Na katika masomo yote mwanafunzi anafundishwa the secular view na religious view.

Maana ni hasa kumwezesha mwanafunzi kupata "solid and consistent knowledge of man, the world and God... The students should rely on that philosophical patrimony which is forever valid, but should also take account of modern philosophical studies, especially those which have greater influence in their own country, as well as recent progress in the sciences. Thus, by correctly understanding the modern mind, students will be prepared to enter into dialogue with their contemporaries." ( Vatican II, Training of Priests, Paragrapah No 15).

Kuna vyuo kama alikosoma Dr Slaa lecturers wote ni wa level ya profesa na kwenda kusoma huko mpaka uwe 'exceptional student' nadhani kama sikosei wanachukua wale tu wenye 'first class'.

Pale anaposoma "Canon Law" au "Catholic Education" usidhani padre anasoma tu biblia au mafundisho ya Kanisa. Mfano, Dr Slaa amespecialise katika Canon Law ambayo ndiyo mother of secular law na kusoma Canon Law ni lazima kuanza na how law developed na mpaka kuja kugawanyika into secular na religious laws.

Advantage ya Dr Slaa si tu kwamba ana'knoweldge' ya Canon Law lakini pia nini kwa inaitwa secular law na kwa nini - tofauti na similarities. Mfano, definitions of what is an irregurality, malice aforethought, the difference between legality and validity of an act, what is a valid marriage and a legal marriage, etc.

All Catholic Universities undertake secular studies mfano ni Catholic University of East Africa (CUEA), Kenya, ambako hata Waislamu wanasoma huko, St Augustine, Mwanza, Luvein University etc. kwa hiyo mtu akihitimu kwenye vyuo hivyo, huwa haangaliwi kuwa amesoma elimu ya dini bali kwamba ni mtaalamu katika taaluma fulani aliyoisomea.

Tofauti kwa mapadre ni kwamba mfumo wao wa mafunzo unachukua muda mrefu na wanajifunza mambo mengi - maana hadi kufikia upadre ni mpaka uwe walau umesoma miaka 10 baada ya Form VI". (mwisho wa kunukuu)
 
Dah...sijui unafanya makusudi au kweli hujui! unatia huruma. Hizo BA na MA unajua ni nini? Vipi kuhusu BSc na MSc? Anyway hii hoja ya PhD ya Slaa ilishajadiliwa sana humu, itafute.
Kipofu aliyeona mwezi anadhani kila kitu ni sawa na mwezi tu!
Ritz we ngwini nini?
 
Wanabodi.

Ili kupata PhD (Doctor of Philosophy) lazima huwe na BA (Bachelor of Arts) na MA (Master of Arts).

Nimepitia CV ya Katibu Mkuu wa Chadema Wilbroad Slaa, nimeona kapata PhD yake mwaka 1977 St. Urban University Rome Italy.

Kwenye CV yake hukuna sehemu yoyote kuwa ana BA ama MA.

Kuna njia nyingine ya kupata PhD bila kuwa na MA na BA?

my friend hujui elimu imelala wapi?hapo hakuna mchakachuo ni phd kwelikweli c kama ya jk.si unaona mkapa na mwalim hawakuzitaka hizi za jk kwa kuwa wanazijua.mwenzetu anazo phd 2 kwa bachelor ya pass ya economics
 
Ilo ndio jibu la PhD ya Slaa?

Inshort mzee slaa elimu yake ni kuongoza kanisa ... Nchi yenye waumini wa dini tofauti hawezi lazma atakuwa biased .. hivi kwa nini aliacha kazi ya kutumikia kondoo ..? Ilikuwa haina dili ama..?

Slaa ni male version ya lwakatare ..
 
Aaaah sanaaaaaaaaa, tena ni ile ya ukweli darasani kusotea si kama zile za shujaa wako za kupewa kama vitumbua Mwananyama!!!!! Ritz, you can say it again - Dokta wa UKWELI!!!!!!!!

Mpigie umwulize na kama haumpati usisite kuniPM nikupatie nambari ya kumpata umwulize.

Kuna kazi kweli kweli!

Kwanza inaonekana wewe siyo GreaThinker
Ridhiwan aka ritz

ahahhhhhhhhhhhhhaha ..nguvumali umemaliza kila kitu

hivi wewe si uwe busy na kusimamia mradi wako wa DAR LIVE kule mbagala unahangaika nini lakini?...We mwenyewe ulifeli UK ...unataka kuanza kusumbua watu hapa...muulize Dingi alipata GPA ngapi pale UDSM?? kama hujui au anakuficha alipata GPA ya 2.3

Dah...sijui unafanya makusudi au kweli hujui! unatia huruma. Hizo BA na MA unajua ni nini? Vipi kuhusu BSc na MSc? Anyway hii hoja ya PhD ya Slaa ilishajadiliwa sana humu, itafute.

Achana nae huyo........anatafuta airtime kwa lazima, akili yenyewe ya kuunga kwa manati, tabu tupu!!!

my friend hujui elimu imelala wapi?hapo hakuna mchakachuo ni phd kwelikweli c kama ya jk.si unaona mkapa na mwalim hawakuzitaka hizi za jk kwa kuwa wanazijua.mwenzetu anazo phd 2 kwa bachelor ya pass ya economics

Achunguze kwanza wale wa Magamba na PHD zao za magumashi

Jamani,
Msipoteze muda.
Hapa MISSION kubwa ni kuvuruga mjadala wa Posho ZA wABUNGE na Mgomo wa Madaktari!
Wengine hawa ni makuwadi wa Rwakatare, wamekuja kupotezea ile thread inayomcheza unyago!
So dont loose direction brodas and Sistos, pigeni pale panapouma!

Ritz..
Hiyo PHD yake siyo phd zinazotambulika. Ni PHD ya mambo ya kanisa. Hiyo inatambulika tu ndani ya kanisa Katoliki. Wakatoliki peke yao ndio wanastahili kumwita dr, na tena wawe kwenye mambo ya kanisa.
Akija huku uraiani anatambulika tu kama form six leaver wa kawaida cuz hata hana bachelor degree!
 
Back
Top Bottom