Nacte pokeeni simu za wateja tunapata shida sana

Nacte pokeeni simu za wateja tunapata shida sana

dyeanka

Member
Joined
Jun 19, 2016
Posts
96
Reaction score
70
Ni jambo la kushangaza sana kama Nacte wanaweza kutoa namba zao simu kwaajili ya kuwasaidia wateja lakini hataki kupokea simu. Najiuliza nini tafsiri ya kutoa namba hizo?.
Inakulazimu unapopata tatizo mpakausafiri kwenda Dar ili tatizo Li solviwe. Inasikitisha sana kwa kweli kwa wanachokifanya Nacte. Tunaiyomba serikali kupitia waziri wa Elimu kuingilia kati ili kupatiwe msaada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nila zima kupiga simu mbona maelekezo yanaeleweka tatizo bongo watu hawapendi kusoma jamani
 
1. Piga simu hazipokelewi....
2. ukienda pale utaratibu wa kutatuliwa shida haueleweki, utaelekezwa ofisi hii mara ile, utaambiwa hivi mara vile.
3. lugha chafu kuwahi kutokea
4. Transcripts mbovu, makosa kibao, kila transcript lazima ikosewe, afu ww mwanafunzi ndo unarekebisha
5. Records mbovu, hawana majina ya watu au hata ya vyuo, unaweza kushangaa details zako zinatafutwa, ukaambiwa kuna jamaa hayupo leo akija ndo tutamwuliza
6. Watoto wa watu wametoka mikoani wamekaa mjini wiki nzima, wamefuata transcript ili wawahi ajira chache za magufuli lakini wamezungushwa wiki nzima bila mafanikio.


Poor Tanzania, Pooor NACTE..., POOOR CCM....,
 
Back
Top Bottom