SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA: (Wahenga walipata kusema)

SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA: (Wahenga walipata kusema)

bartaizo

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2013
Posts
236
Reaction score
91
Changamoto hupendeza maisha,na kukabiliana nazo ndio maana halisi ya maisha.
Matatizo unayoyapata kila siku na mbinu unazotumia kutafuta suluhuisho ndio maisha yako. Hivi basi inafaa uwe na mtazamo mzuri unapopatwa na majaribu.

2 Timotheo:4.2
lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom